Posts

Showing posts from August, 2010

PRECISION AIR YAONGEZA NDEGE MPYA

Image
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh.Mohammed Babu akikata utepe kama ishara ya kuzindua ndege mpya ya Precision ART 42- 500 yenye uwezo wa kubeba abiria 48 ambayo itafanya safari zake kati ya Dar es salaam na Bukoba na kurudi Dar es salaam, ndege hiyo iliruka kutoka Dar es salaam kwenda Zanziar na kurudi kwa majaribio na inatarajia kuanza safari zake mwezi ujao, wanaoshuhudia katika picha kutoka kulia ni Jamal Hussein Afisa Mtendaji Mkuu Citi Bank, Allan Sharra Kaimu Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Precision Air na kushoto ni Rubani wa Ndege hiyo Chohan Mbarouk Mwana blog John Bukuku wa www.fullshangwe.blogspot.com akijiandaa kushuka mara baada ya ndege hiyo kurejea Dar es salaam ikitokea Zanzibar jana. Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambaye alikuwa mgeni rasmi Mh. Mohamed Babu katikati akisubiri ndege itue ili kufanya uzinduzi rasmi kwa kukata utepe kulia ni Allan Sharra Kaimu Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Precision Air kushoto ni Jamal Hussein

KELV IN IN DA HOOD

Image
SIKU MOJA MOJA NA MIMI NIKIJIWEKA SIO MBAYA

MBAVU ZANGU MIE

Image
LEO Jumapili lazima tufurahi pamoja mpenzi wa blog hii ona mwenyewe kwa macho yako

Ravalomanana ahukumiwa kifungo

Image
Rais wa Madagascar anayeishi uhamishoni, amepewa hukumu ya kifungo cha maisha jela, na kazi ngumu kwa kutoa amri ya mauaji ya wafuasi wa upinzani. Marc Ravalomanana alihukumiwa bila ya yeye kuwepo mahakamani, kufuatia mauaji yaliyotokea mwezi Februari 2009, ya watu wasiopungua 30 na walinzi wake. Bw. ravalomanana amekuwa akiishi nchini Arika Kusini tangu mezi machi mwaka 2009. Watu waliouawa walikuwa wafuasi wa Andrey Rajoelina, ambaye hivi sasa ni rais. Bw. ravalomanana alishitakiwa kwa makosa ya mauaji na kuhusika katika mauaji, pamoja na washitakiwa wengine 18, wengine pia wakiwa wanaishi uhamishoni. Wakili mtetezi wa rais wa zamani, waliondoka mahakamani muda mfupi baada ya kesi kuanza kusikilizwa, wakisema mahakama hiyo inatumiwa na utawala wa Bw. Rajoelina "Lengo ni kumhukumu ili asiweze kurejea Madagascar na kushiriki katika uchaguzi siku zijazo," wak

Poulsen awatema Tegete, Yondani, wengine watano

KOCHA wa Taifa Stars, Jan Poulsen amewaacha wachezaji saba mahiri kwenye safari ya Algeria kwa sababu ambazo ameziita kuwa za kiufundi na ushindani mkubwa kwenye kikosi chake. Kikosi hicho cha wachezaji 20 kitakachoondoka Jumanne kwenda Algeria kwa mchezo huo wa kwanza za kusaka tiketi ya kufuzu kwa fainali za Afrika mwaka 2012. Timu hiyo itaondoka kwa ndege ya Shirikika la Ndege la Qatar Airways kuelekea Algiers. Wachezaji walioachwa ni pamoja na Uhuru Seleman, Kelvin Yondani, Juma Jabu, Abdulhalim Humoud , Jerryson Tegete, Athuman Idd 'Chuji' na kipa Juma Kaseja. Poulsen alisema wachezaji hao wameachwa kwa sababu mbalimbali za kiufundi. Alisema Chuji na Kaseja bado ni majeruhi. “Chuji amepata nafuu , lakini hajakuwa na mazoezi kwa muda mrefu, siwezi kusafiri naye kwani hawezi kucheza, hali ambayo ni sawa kwa Kaseja ambaye nimempa muda zaidi wa kupona,” alisema Poulsen. Aliongeza kuwa Abdulhalim Humud, ambaye anaichezea Simba ameachwa kwa sababu ya timu yake kuwa na viungo wan

HAPPY BIRTHDAY JOH MAKINI

Image
Leo ni birthday ya Mwamba wa kaskazini kutoka Atown city,wish all da best katika Game also katika maisha yako we celebrate together

MAKAMUZI YANAELEKEA SEATTLE 28-AUG BAADA YA KASAS CITY

Image
Haya kazi kwenu wana wa EAST AFRICA mnaoishi mitaa ya SEATTLE,mwana HAULE yupo kwenu tayari kukinukisha mbaya vilivyo…show itafanyika tarehe 28 AUGUST katika ukumbi wa AFRIQ LOUNGE...usikose baab

BBA ALL STARS KURUKA BONGO FLEVA WIKI HII..

Image
Jmosi wiki hii..Dj Stive B kutoka Clouds fm atachapa ngoma kali za ukweli hasa Bongo flevaz ndani ya mjengo wa BBA All Stars na kuwarusha washiriki wote mjengoni...huu ni utaratibu mpya wa BBA All Stars mwaka huu kuwafurahisha washiriki na kuwafanya wa-enjoy weekend kila j'mosi kwa kuwaalika ma-djs mbalimbali toka nchi mbalimbali za Afrika kupiga ngoma mjengoni pale...safari hii ni zamu ya Bongo na Dj aliyebahatika kupata zali hilo ni Stive B aka Skillz...kazi kwenu fans kufuatilia nini kitajili siku hiyo

KATIZA ANGA YAO UONE SHUGHULI

Image
Ni askari wa kikosi cha kuzuia na kutuliza fujo Tanzania, Field Force Unit, (FFU) al maaruf Fanya Fujo Uone, wakiwa katika mavazi yao rasmi tayari kwa kukabiliana na purukushani zozote ambazo zinaweza kuchomoza kutokana na kutokukubaliana katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Wabunge na Raisi.

TAHADHARI KWA WAPENDA KULA KARANGA JIANI

Image
Mfanyabiashara ndogondogo wa karanga ambaye jina lake halikujikana akiokota karanga zilizomwagika jana nje ya Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam (? na kuzichanganya kwenye zilizomo kwenye kifuko cha biashara?). Hatua hiyo inahatarisha afya za walaji kwa kuwa upo uwezekano wa kijana huyo kuziuza tena kwa wateja wake bila wao kujua kama sio salama. Mtizamaji, tizama mwelekeo wa mikono hiyo unaookota karanga, hizo zinaelekea kutupwa au kuchanganywa'mo? Ikiwa alikuwa na nia ya kuzitupa, kwa kawaida huwa tunafyagia kwa mguu kuelekea pembeni ikiwa mikono tayari imebeba kitu, ama, kile kilichobebwa huwekwa mbali na mwelekeo wa mikono au miguu huwa upande wa ardhini (kama ni kutoka kwenye sakafu) au huwa tunaacha na kusonga mbele. Matatizo ya kiafya ya magonjwa ya mlipuko vyanzo vyake ni vya aina hii kwani sehemu kinapookotwa chakula huwa imekanyagwa na viatu vilivyopita maeneo machafu sana ikiwemo vyooni na majalalani.

JAY-Z AND BEYONCE ENJOYING IN ITALY

Image
Jay-Z and his wife Beyonce are currently enjoying a romantic vacation in Italy. The couple were spotted strolling the streets of Portoferraio last Friday.

NAFAZI ZA KAZI MBALIMBALI

MANAGER TECHNICAL SERVICES SECTION Qualification: Holder of BSc. Engineering in Electronics and Telecommunications Apply: The Director General, Tanzania Meteorological Agency Box 3056, Dar es Salaam Details: Mwananchi, August 16, 2010. Deadline: September 02, 2010 HEAD LEGAL OFFICER Qualification: Holder of Bachelors of Law (LLB) Apply: The Director General, Tanzania Meteorological Agency Box 3056, Dar es Salaam Details: Mwananchi, August 16, 2010. Deadline: September 02, 2010 ENGINEER Qualification: Holder of degree in Engineering or Advanced diploma in Engineering (Telecommunications/Electronics) Apply: The Director General, Tanzania Meteorological Agency Box 3056, Dar es Salaam Details: Mwananchi, August 16, 2010. Deadline: September 02, 2010 REGISTRY CLERK Qualification: Holder of Advanced certificate of Secondary Education with passess in English Apply: The Director General, Tanzania Meteorological Agency Box 3056, Dar es Salaam Details: Mwananchi, August 16, 2010. Deadline: Septe

UCHAGUZI MKUU 2010: Mawaziri wanyakua ushindi mezani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kujitwalia majimbo ya ubunge kabla ya upigajikura hapo Oktoba 31 mwaka huu, baada ya idadi ya wagombea wake wakiwemo mawaziri kupita kwa ushindi wa 'mezani' wa mapingamizi dhidi ya washindani wao na kuwezesha chama hicho, kuweka kibindoni majimbo 16 hadi sasa hivi. Hadi jana, CCM iliweza kujitwalia majimbo zaidi likiwemo Mlele kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, baada ya mgombea wa CUF Abasi Rashid, kujitoa kwenye mbio hizo huku katikia Jimbo la Mtama, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akipita kwa mlango huo wa pingamizi dhidi ya Isaya Ndaka wa TLP, baada ya kukosa idadi ya wadhamini wanaohitajika. Kasi hiyo ya CCM ilizidi kuongezeka jana baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha kupita kwa mlango huo wa pingamizi dhidi ya mshindani wake kutoka Chadema Wenje Ezekie huku Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja, naye akipeta. Hadi sasa wana CCM waliotangazwa kuteuliwa wabunge na majimbo yao kwenye mabano ni

Watanzania wanaoishi nje hawatapiga kura 2010

Serikali imesema kuwa bado haijakamilisha mkakati utakaowezesha Watanzania wanaoishi nje ya nchi kupiga kura hivyo watakosa haki hiyo katika uchaguzi mkuu utakoafanyika Oktoba 31, mwaka huu. Waziri wa Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe alisema kuwa, kwa sasa bado wanalishughulikia suala hilo lakini hawawezi kupiga kura kwa sababu mchakato huo bado. “Hawawezi kupiga kura watanzania wanaoishi nje ya nchi, kwa sababu suala lao bado linafanyiwa kazi, hivyo basi hawawezi kupata nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi huu,”alisema Membe jana alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa, Serikali bado inaendelea kuweka mazingira yatakayowezesha watu hao kupiga kura waweze kushiriki katika uchaguzi wa mwaka 2015. Alisema pindi mchakato huo utakapokamilika, Serikali itaweka hadharani ili wadau wote wafahamu namna utakavyotekelezwa kwa kuweka mazingira huru yenye lengo la kupanua demokrasia.

HAZINA YA UTALII KISIWANI UKEREWE

Image
KATIKA POZI MASUPER STAR WA KESHO WA PANDE HIZO ZA UKEREWE MLANGO WA KUINGIA PANGO LA BENKI. KORIDO INAYOTENGANISHA PANGO LA HIFADHI (SEHEMU YA BENKI YA WATEMI) NA UKUMBI WA MAPUMZIKO. ILI KUKUZA MAENDELEO YA SEKTA YA UTALII, KAMA MCHANGO WA SEKTA HII KWA TAIFA, JUHUDI ZAIDI ZA KUBORESHA MIUNDOMBINU KATIKA VIVUTIO VYA UTALII SHURTI VIPEWE KIPAUMBELE. MUHIMU NI KWA SERIKALI NA WAENDESHA SHUGHULI ZA UTALII NCHINI, KUANDAA UTALII KWA WANANCHI ILI WAWEZE KUONA VIVUTIO NA UTAJIRI WA NCHI YAO. OF COZ' SEHEMU YA SOMO LA HISTORIA UTALII NI NJIA NYINGINE YA KUPATA ELIMU. LIKIWA NA MVUTO WA KIPEKEE HILI NI KANISA LA KWANZA LA ROMAN CATHOLIC LILILOJENGWA ENZI ZA UKOLONI KTK KISIWA CHA UKARA WILAYANI UKEREWE. H ANDEBEZYO HILL SEHEMU ILIYO JUU YA KILELE CHA KILIMA CHA PANGO LA BENKI YA WATEMI . ENEO AMBALO LILITUMIKA KWA AJILI YA ULINZI NA USALAMA WA KISIWA, KUONA MAADUI WANAOKUJA KUVAMIA NA KADHALIKA. UKISIMAMA ENEO HILI UNAONA SEHEMU KUBWA YA KISIWA CHA UKEREWE.

Ci-Error Is STILL Letting 50 Cent Ri-i-i-iiide!!!

Image
Ciara is still getting her tender cakes CHOPPED DOWN by 50 Cent ! In case you wondered whether the love is still strong between rapper/actor 50 Cent and r&b singer Ciara it sure looks like it is. The pair arrived for a lil hotel rendezvous in New York City yesterday.

Web/Graphics Designer needed urgently

Location: Dar es Salaam, Tanzania Employment Type: Full-Time Summary: WEB/GRAPHICS DESIGNER, WANTED URGENTLY Our offer: Challenging position, stimulating environment conducive to profesional and personal development Remuneration and terms commensurate with the competences of the candidate and responsibilities of the job Requirements: A good Bachelors degree or Equivalent in relevant field Practical knowledge and experience web design and relevant tools, including CSS, XML and HTML. At least 1 year demonstrable experience Ability to work with limited supervision Enthusiasm towards learning Good inter-personal skills Closing Date:02 September 2010 Contact Info: Enble Consulting Address: P.O. Box 78406 Plot 149, Mikocheni B, Dar es Salaam, Tanzania. Telephone: +255 614 109 697 Email: info@enble.co.tz Submit your application (with copies of the relevant documents)
katika peruzi yangu katika tovuti mbalimbali nikakutana na hii habari kuhusu wanaume ambao hawajaoa ebu endelea kusoma mwenyewe i) Wanaume wengi ambao hawajaoa huoga mara moja tu kwa siku (wengine hata siku mbili au zaidi), hali inayopelekea kunuka majasho, na katika kufunika hili hujipulizia perfume kali. sasa timbwili linakuwa anapoingia kwenye majambo, dk chache tu majasho mapya+ya zamani+perfume unakuta ananuka uvundo... ii) Wanaume wengi ambao hawajaoa hufua kufuli zao mara 1 kwa saa 24 (au zaidi), na ukiwafuma kwa gafla (kama hamkupanga) unakuta wana kamchirizi keusikeusi sehemu ya chicni ya kufuli kwa ndani. Kufunika hili wengi hupenda kuvaa boxer za rangi isiyoonyesha, hawavai nyeupe iii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanafuga mav*** iv) Wanaume wengi ambao hawajaoa kwa kuwa mara nyingi wanakuwa na ukame, ni rahisi kula hata mademu wa chini ya viwango vyao (hata makahaba), hii inasababisha unaweza kukutana nae gafla ukakuta katoka kunyonywa. v) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanav

Shy-Rose Bhanji Amwonya Msekwa

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shy-Rose Bhanji, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa na kumtaka aache kukifanya chama hicho kama mali yake. Shy-Rose ambaye aliwania ubunge katika Jimbo Kinondoni, jijini Dar es Salaam na kushindwa kwenye kura za maoni, alitoa kauli hiyo jana akijibu kauli ya Msekwa ya juzi akiwataka wanaotaka kuhama chama hicho baada ya kushindwa kwenye uteuzi wahame haraka. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano kwa njia ya simu, Shy-Rose alisema ameshtushwa na kauli ya Msekwa kwani hakuwa na haki ya kutamka maneno mazito na yasiyo ya kiungwana hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu. “Kwa kweli nilivyosoma gazeti moja leo nimekutana na habari hii, ikanishtua kidogo. Nikajiuliza hivi huyu mzee Msekwa anasema maneno ya ajabu namna hii, hiki chama ni chake binfasi? Pengine amejisahau kwamba CCM ni chama chetu wote, sasa iweje yeye awe na ujasiri wa kujiamini kutoa maneo ya ajabu wakati hiki ni chama chetu wote au yeye anadhani ni chama

Atakayemuonyesha Obama Matiti Yake Kulipwa Dola Milioni 1

Bilionea Alki David ili kuitangaza tovuti yake ya "Battlecam" ameahidi donge nono la dola milioni 1 kwa mwanamke yoyote atakayekuwa wa kwanza kujitokeza mbele ya rais Obama na kisha kumuonyesha matiti yake huku akiwa amebandika lebo ya "Battlecam" kwenye kifua chake. Sharti ya kushinda donge hilo nono ni kwamba tukio hilo lazima lionyeshwe LIVE kwenye tovuti ya Battlecam inayomilikiwa na bilionea huyo. Awali bilionea huyo aliahidi kutoa zawadi ya dola laki moja lakini ameamua kuiongeza zawadi hiyo iwe dola milioni 1 baada ya watu kuona dola laki moja si donge nono. "Watu wengi wanafikiria dola 100,000 hazitoshi kumfanya mtu azionyeshe sehemu zake nyeti kwenye hadhara, lakini dola milioni 1 ni pesa za kutosha kabisa", alisema bilionea Alki. Alki alisema kwamba hadi sasa jumla ya watu 150 wameishajiandikisha kuwania zawadi hiyo. Bilionea huyo alidai kuwa ameamua kumchagua Obama kwakuwa Obama ndiye kiongozi mkubwa wa dunia. Bilionea Alki alizaliwa Lagos, Nige

Tovuti za Vyama Vya Siasa nchini Tanzania

Baadhi ya vyama vya Siasa nchini Tanzania vimefungua tovuti zao ambazo huwawezesha watu mbalimbali kupata taaarifa na habari zinazohusiana chama, siasa na masuala mengine yanayoihusu nchi. Wakati tunapoelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba, watu wengi walipo nje ya nchi pamoja na wafuatiliaji wa mambo wa Kimataifa wanapata taarifa nyingi kupitia kwenye mitandao, ambapo sehemu rasmi yakupata taarifa hizo ni kwenye tovuti rasmi za vyama na tume za uchaguzi. Lakini ni jambo la kushangaza na kusikitisha sana, kwamba sehemu hii ya taarifa haijapewa kipaumbele kama vile redio, televisheni na magazeti. Baadhi ya tovuti za vyama hivi hazina habari mpya tangu zianzishwe. Nyingine zina taarifa zilizochapishwa muda muda mrefu sana il hali yamekuwepo matukio mengi ambayo yangestahili kuripotiwa tangu wakati huo hadi sasa. Kwa kweli ni vigumu kung'amua ikiwa ni tatizo ni la kiteknolojia au tu kutokuipa kipaumbele TEKNOHAMA? Wahusika wa vyama na tovuti hizi tafadhalini kumbukeni kutumia to

Jay-Z Tops Hip-Hop's Cash Kings 2010 List

Image
Jay-Z needs to update his song 99 Problems , because it REALLY doesn’t seem like he has too many problems at all! At earnings of $63 million for the past 12 months, Jay-Z gets the title of #1 Hip-Hop Cash King by far. The list is based upon numbers from several music industry sources, including Nielsen, Billboard, and Pollstar. Jay-Z’s earnings derive from not only tremendous album sales, but also his earnings from his worldwide tour, the 40/40 nightclub chain, and his stake in the New Jersey Nets basketball team. Trailing far behind Jay-Z is P. Diddy , who earned the #2 spot with $30 million through album sales, television and film roles, his liquor brands, and Diddybeats ear-bud sales. Following behind Diddy is Akon at $21 million, Lil Wayne at $20 million, Ludacris at $16 million, Kanye West at $12 million, and 50 Cent at $8 million, who took a break from music work to take on film roles. While she’s not a male Hip-Hop recording artist, Jay-Z’s wife Beyonce blew absolute

mmmmmmmmmh kazi kweli kweli

Image

waliochukua fomu za kugombea urais mpaka sasa

Hadi kufikia tarehe ya leo, Jumamosi 14 Agosti 2010 wagombea waliochukua fomu za kinyang'anyiro cha Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni hawa watuatao: 1. Richard Kiyabo - NRA 2. Jimmy Obedi Mshana - Demokrasia Makini 3. Jakaya Mrisho Kikwete - CCM 4. Peter Mziray - APPT-Maendeleo 5. Paul Kyara - SAU 6. Christopher Mtikila - DP 7. Wilbroad Slaa - CHADEMA 8. Ibrahim Lipumba - CUF 9. Mutamwega Mugahywa - TLP 10. Hashim Rungwe - NCCR-Mageuzi Kwa bahati mbaya, wasifu wa wengi wa wagombea hawa imekuwa ni vigumu kuupata habari hii ni kutoka tovuti ya www.wavuti.com

Maziwa, Chilli, Pipi na Biskuti toka TFDA ambazo zimezuiriwa

Bidhaa za vyakula kama vile maziwa chapa NAN2 na vikolombwezo vya vyakula kama vile pilipili ya chupa (chilli), peremende (pipi) na biskuti vimepigwa marufuku na mamlaka inayohusika na chakula Tanzania, TFDA, kufuatia kugundulika kuwepo bidhaa bandia na hivyo kuwa na athari na hatari kwa afya na mwili. Hatua hiyo ilitangazwa Dar es Salaam jana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo, alipozungumza na waandishi wa habari. “TFDA inapenda kuutaarifu umma kuwa katika ukaguzi uliofanyika Dar es Salaam na hasa maeneo ya kuuzia vyakula, imebainika kuwepo kwa bidhaa bandia na ambazo hazijasajiliwa na Mamlaka na hivyo usalama na ubora wao kutothibitishwa,” alisema Sillo. Bidhaa zilizokamatwa ni makopo 2,261 ya maziwa bandia ya watoto wachanga aina ya NAN 2 ambayo yanatofautiana kwa kiasi kikubwa na maziwa halisi, chupa 93 za nyanya na pilipili za chupa na pakiti 149 za peremende na biskuti, ambazo hazikidhi viwango na matakwa ya sheria. Sillo alisema kutokana na ugumu wa mwananchi wa kawa

PROFESA JAY KUPAGAWISHA DALLAS LEO JUMAMOSI

Image
PROFESA JAY The heavy weight Mc, Profesa Jay Jumamosi hii anatarajia kupanda katika jukwaa la Murphy's Place Dallas nchini Marekani, baada ya 255 kumsaka Profesa Jay kwa muda mrefu bila mafanikio hatimaye leo majira ya saa sita za mchana mtu mzima akavuta wire,jamaa tayari ameshapiga show Houston Texas, Washington DC, Boston na sasa hivi yupo mjini Dallas na akiendelea na maandalizi ya Show ya Jumamosi. Aidha Prof alielezea ziara yake aliyoifanya mwezi uliopita katika makao makuu ya taasisi ya Malaria no More yaliyopo jijijini New York, prof anasema yeye kama balozi wa malaria aliweza kukutana na jopo la zima la Taasisi hiyo, na alifanya vitu vingi ambavyo alishindwa kuvitaja vyote, Prof alitumia fursa hiyo kuziasa jamii zote zinazo athirika na ugonjwa wa malaria, kwa kusema kila mtu apigane kwa uwezo wake ili kuutokomeza ugonjwa huo unao ongoza kwa kuua watu wengi nchini. Profesa alimalizia kwa kusema "Malaria haikubaliki" ukitaka kufahamu mengi tuliyozungumza na Profesa

Ufunzi wa Hasheem Thabeet kwa vijana waanza

Image
Mchezaji wa ligi kuu ya mpira wa Kikapu nchini Marekani, almaarufu, NBA, akiichezea timu ya Memphis Grizzlies, Hasheem Thabeet yupo nyumbani Tanzania kwa lengo la kuwafunza vijana mbinu sahihi za mchezo huo kupitia programu maalumu ya Basketball Clinic . Jana katika ukumbi wa ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Hasheem alizungumza na waandishi wa habari akielezea kuwa programu hiyo rasmi jana tarehe 12 Agosti 2010 kwenye viwanja vya Don Bosco. Watoto zaidi ya 400 wanatarajiwa kukutana kwenye clinic hiyo. Makamu Mwenyekiti wa shirikisho la mchezo wa kikapu nchini, Tanzania Basketball Fedreration (TBF) bw. Phares Magesa amewataka vijana wote watakaotaka kushiriki mafunzo haya kujiandikisha katika shule zao zenye vilabu vya mchezo wa basketiboli. Hasheem alisema kuwa programu hii imeshaendeshwa katika nchi kadhaa barani Afrika zikiwemo Nigeria, Senegal, Ivory Coast na sasa Tanzania. Barani Asia alishirikiana na Yao Ming kuendesha programu iyo hiyo kwenywe nchi za HongKong, Quatar

mtoto wa kitaa kutoka TMK akiwa na wakitaa mwenzie kutoka Brooklyn

miss Mara afunika miss lake zone

Image
HUYU NDIYE VODACOM MISS LAKE ZONE 2010 FATMA IBRAHIM KUTOKA MUSOMA ALIYESHINDA KATIKA KINYANG'ANYIRO KILICHOFANYIKA USIKU WA KUAMKIA LEO NDANI YA KIWANJA KIPYA KABISA HUJAWAHI TIA MGUU, NATILO HOTEL JIJINI MWANZA. KUTOKA KUSHOTO MSHINDI WA TATU VODACOM MISS LAKE ZONE 2010 BUDURI IBRAHIM NA KULIA KABISA MSHINDI WA PILI MAGRET GODSON KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MISS LAKE ZONE 2010 FATMA IBRAHIM(KATIKATI). KWA MUJIBU WA KANUNI ZA MISS TANZANIA WOTE HAWA WAMEINGIA KATIKA MCHAKATO WA FAINALI ZA KUMTAFUTA MISS TANZANIA. picha ni kwa hisana ya blog ya gsengo

USIKU WA FIESTA ULIVYOFUNIKA HAPA DAR

Image
Lil Kim baada ya kupiga songi zake kadhaa,alimuita msanii Juma Nature jukwaani na kuanza kuimba nae,ama kwa haki kuliibuka makelele na mayowe ya shangwe ile mbaya uwanjani hapa. Vijana wa kundi la Bracket toka Nigeria wakikupa 'Yori Yori' Mkali wa aladji aladji kutoka Ivory Coast,Jeff akimchezesha densa wake na kibao chake maarufu kabisa cha aladji mbele ya umati mkubwa uliofika kwenye tamasha la fiesta jipanguse. Kundi la Wanaume TMK,Chege,Temba na Kr Mulla wakilivamia jukwaani vyema kabisa na moja ya wimbo wao wa Mambo bado,Makelele yalitawala hapa uwanjani ile mbaya ni full . Ni barnaba na Lina hawa pia walipangawisha mbaya na kibao chao cha wrong no Mkali Roma on the stage,huyu jamaa nilikuwa sijawai kumuona on the stage lakini kitu nilichokiona ni kwamba jamaa ni mkali sana,watu walinyanyua mikono yao kumpa support ya kutosha. Umati wa watu uliojitokeza kwenye usiku wa fiesta Mambo ya aladji ,hawa madensa wanakata viuno ni hatari Lil kim on the stage Lil kim pia ali

KUTANA NA WATU WAPYA,INASAIDIA.

Image
Kwa walio wengi kukutana na kupata nafasi ya kujua watu wapya ni raha sana.Ila kuna wengine huona ni kupoteza muda,hujisikia hayuko huru hasa kama huyo mtu anamuuliza maswali au kumuongelesha.Ila kuna faida kubwa ya wewe kujipa nafasi ya kukutana na kufahamiana na watu wapya mara kwa mara. Urafiki.. · Kukutana na watu wapya kunaweza kukuongezea marafiki.Hali ambayo inakusaidia kiakili na kimwili .Mtu mpya anaweza kukufundisha kitu kipya ambacho wewe ulikuwa hujui,kukupeleka mahali ulikuwa hujawahi kwenda,kula chakula ambacho ulikuwa hujawahi kula n.k Kujifunza · Kukutana na watu wapya kunakusaidia kujifunza vitu vipya.Ukikutana na mtu mpya utajifunza vitu vipya,mbinu mpya za kufanya jambo fulani,lugha mpya,au kuweza kukupa njia ya kutatua tatizo Fulani kwenye maisha.Ukichukua muda kumjua mtu inaweza kukusaidia kuongeza wigo wako wa ufahamu na kujua mbinu mpya katika maisha. Uelewa · Kukutana na watu wapya kunakupa nafasi ya kuelewa tamaduni tofautitofauti imani,wanavyoishi,wanachothami

FANYA MAZOEZI MAPEMA YA RAAAAAAAAAAA

Verse 1: Lil' Kim I Come From Bed-Stuy, Where Niggas Either Do Or They 'gon Die gotta Keep The Ratchet Close By someone Murdered, Nobody Seen Nobody Heard It, Just Another Funeral Service niggas Will Get At You, Come Through Shinin They Yap You, In Broad Daylight Kidnap You thugs They Get Clapped To, Police Stay On Us Like Tatoos, Niggas Only Grind Cause We Have To money Is Power, Sling Crack, Weed And Powder, Fiends Come Through Every Hour it's All About That Dollar, And We No Deal With Cowards, Weak Lamb Get Devoured by The Lion And The Concrete Jungle The Strong Stand And Rumble the Weak Fold And Tumble If They Land Up Trouble brooklyn Home Of The Greatest Rappers, Big Comes First And The Queen Comes After chorus: Lil' Kim now Put Your Lighters Up, Bed-Stuy, Put Your Lighters Up fort Greene, Put Your Lighters Up, Flatbush Keep Puttin Them Lighters Up brownsville, Put Your Lighters Up, East New York, Put Your Lighters Up bushwick Keep Puttin Them Lighters Up, No Matte

watakao pagawisha siku ya Fiesta DAR

Image
Bracket LIL KIM Kundi la Wanamuziki kutoka nchini Nigeria wajulikanao kwa jina la Bracket ,ambao wanatamba na nyimbo zao kadhaa ikimwemo ile ya yori yori and no time,pia watakuwepo COUPER DECALER kutoka IVORY COAST na kitu cha Aladji kutikisa ndani ya viwanja vya Leaders.........jipanguse rhaaaaaaaaaaaaaa