Posts

Showing posts from January, 2014

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Image
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI _______________________________________ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0        OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. 2.0         OFISI YA MAKAMU WA RAIS 2.1  Waziri wa Nchi (Muungano) - Hakuna mabadiliko 2.2    Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb)             Waziri wa Nchi (Mazingira). 2.3     Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb)              Naibu Waziri  3.0        OFISI YA WAZIRI MKUU Hakuna mabadiliko               4.0     WIZARA              4.1    WIZARA YA FEDHA 4.1.1         Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb)                         Waziri wa Fedha                   Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb)                               Naibu Waziri wa Fedha 4.1.2        Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)                          Naibu Waziri wa Fedha     

Hemedy PHD ft. Gelly wa Rhymes - The One

Download Stereo ft Ben Pol - Usione Hatari

DOWNLOAD RASIMU YA PILI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013

Ile rasimu ya pili ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshatolewa hii hapa soma kwa umakini uweze kuichambua na kuona wapi bado kuna matatizo. DOWNLOAD RASIMU HAPA

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA

Image
Chukua japo dakika 10 za kusoma kitabu cha mwanamalundi, mtu maarufu aliyewahi kutokea katika historia ya kabila la kisukuma, hizi ni picha nilizozitoa katika kitabu hicho chenye karatasi kama 7, ni mojawapo ya kitabu nilichotamani kukisoma kupata ukweli juu ya mtu huyu, kwa bahati nzuri nimekikuta kwa mama yangu mkubwa katika kabati lake la vitabu, hivyo nikaona sio mbaya nikiweza kushare na marafiki zangu ambao nao wanatamani kujua historia ya mtu huyu maarufu kuwahi kutokea hapa Tanzania.