Posts

dread ndefu kuliko zote duniani

Image

SHERIA HII NI YA WAPI?

Image
Tatizo la usafiri usababisha watu kufikia hatua ya kuvunja sheria chukulia picha hii ni hatari kubwa sana anayoifanya mtu huyu,tuchukue tahadhali kubwa hasa tunapoendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za barabarani.

KUMBE SUTI NA SNICKER ZINATOKA POUWA

Image
Bwana mkubwa Mrema akiwa anachonga mawili matatu na Mh.Lowassa picha hii nimeipenda baada ya kuona mheshimiwa Latonga akiwa ametinga snicker white chini na juu akiwa amevalia suti nyeusi

JUST IMAGINE IS YOUR ROOM FULL OF BENJAMINS

Image

JAMANI HII MVUA

Image
Mvua hii iliyonyeesha Dar kwa hizi siku tatu basi hali hiko hivi kwa maeneo ya mwananyamala,msasani,mikocheni maeneo ya shoppers plaza,Buguruni daaa....ni siwasahau watu wa manzese na kwa Mtogole

MAMAAAAAAAA YANGU

Image
Do u see this pic?this is the new upcoming model

JUST COMPARE! ITS FUNNY

Image

wadau mpo hapo

Image
umeona ambulance ya kiaina maeneo fulani fulani

KWELI KIPIGO KINAPOZIDI UWA INAKUWA HIVI

Image
Kibaka kamua kujisalimisha kwa askari,just imagine police hatoe tamko kwa raia....kumaliza mchezo wa kumbadilisha jina....lol

TUTAFIKA KWELI?

Image
Haya ndo maisha yaliyoko katika shule zetu hapa nchini,ukosefu wa walimu na pia mazingira mabovu ya kusomea kama unavyoyaona pichani,nashukuru sana kwa wadau ambao mnanisaidia kunipa picha kama hizi.

hizi filamu zetu za kibongo zinajenga?

Image
anti Ezekiel na Steven Kanumba Ki ukweli ukiangalia picha kama hii hapa sidhani kama huko na mzazi wako mkitizama TV utaendelea kutupa macho yako katika TV,jamani wasanii wa filamu tufuate maadili ya kitanzania sometime nashindwa kabisa kuangalia filamu zenu ambazo zimejaa mambo ya mapenzi.....sanaa....kuliko ujumbe mwengine tubadilike tuachane na usasa....tusisahau maadili yetu

maisha safari ndefu

Image
obama na bibi yake picha hii inaonyesha wakati Rais wa Marekani Obama akiwa na bibi yake nchini kenya ambako alizaliwa baba yake mzazi