Posts

KONGAMANO LA KATIBA

Image
JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDASA) inawaletea: KONGAMANO LA KATIBA MADA KUU: MCHAKATO NA MAUDHUI YA KATIBA MPYA WAZUNGUMZAJI WAKUU: Prof. ISSA SHIVJI Ndg. JENERALI ULIMWENGU TAREHE: Jumamosi, 15 Januari 2011 UKUMBI: Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam MUDA: SAA 4:00 AsubuhiI hadi SAA 8:00 Mchana NYOTE MNAKARIBISHWA

OOH DO U LOVE ME!

Image
Thanks............

DOGO JANJA ASEMA YEYE NI MUZIKI NA SHULE

Image
MSANII mdogo kuliko wote wanaotamba kwa sasa hapa nchini Abduaziz Chende maarufu kama Dogo Janja amesema pamoja na umaarufu alioanza kuupata kamwe hawezi kulipa kisogo suala la elimu. Mwanahip hop huyo mwenye miaka 14 amesema kuwa anaamini eklimu ndiyo ufunguo wa maisha hivyo kutokana na umri wake kuwa mdogo hawezi kupoteza haki yake hiyo ya msingi sababu ya muziki. Kwa sasa msanii huyo aliyekuwa akiishi jijini Arusha yupo jijini Dar es Salaam na tayari ameshaanza kidato cha kwanza katika sekondari ya Makongo, huku akiendelea na muziki. Yatari msanii huyo ambaye anafanya kazi chini ya kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese, Dar es Salaam amekamilisha yake ya pili iitayo I Get Money akimshirikisha Godzillah. Awali alitoka na wimbo unaoitwa "Anajua" aliowashirikisha Madee na Tundaman

HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA YAUNDA KIKOSI KAZI KUDHIBITI WEZI WA MIUNDOMBINU YA TAA ZA BARABARANI.

Image
Kutokana na kuwepo hujuma na wizi wa miundombinu ya taa za barabarani halmashauri ya jiji la mwanza kwa kushirikiana na Kikosi cha Polisi imechukuwa hatua ya kuunda kikosi kazi kwania ya kukamata wahalifu ili hatua za kisheria zipate kuchukuliwa dhidi yao. WILSON KABWE. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mwishoni mwa wiki, Mkurugenzi wa jiji la Mwanza bw. Wilson Kabwe amesema kuwa kufuatia wizi mkubwa uliofanyika kwa nyaya hizo umepelekea maeneo mengi ya barabara kuwa na giza nene hali iliyosababisha kuripotiwa kwa matukio mengi ya wananchi kuvamiwa na wezi, kuumizwa na hata kuporwa mali zao. habari hii ni kutoka www.gsengo.blogspot.com

A NEW COMPANY FOR IMPORTING AND EPORTING GOODS IN UK

Image
Welcome to Locus Impex-UK We are an import/export company currently based in the United Kingdom with global dealings. Unlike our competitors we like to develop a personal relationship with our clients and try to offer a specific service to suit each individual client. Whether you require a single service or an annual requirement Locus Impex will treat you with care, consideration and most of all the best solution for your requirements. We pride ourselves in our service and welcome any job regardless of size. We can ship to various global locations and our main expertise is importing and exporting between the United Kingdom , Tanzania , DR Congo , Kenya , Cameroon and many more.`` For more information contact Marketing Director Mr.Bernard Chisumo the contact is below Bernard Chisumo Market Director Reading Branch Locus International Ltd 14 Rothwell Walk,Caversham Reading,RG4 5DB Tel: +44 118 954 5890 ,07876126862 Email: bchisumo74@yahoo.com , reading@locusimpex.com OR Main H

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE A. MUTARAGARA CHIRANGI

Image
MAREHEMU MZEE A. MUTARAGARA CHIRANGI Pamoja na Mwanafalsafa Friesrich Nietzsche (1844 - 1900) kuona na kusema kweli kwamba, kuwa na subira au uvumilivu ni ngumu sana, hata kwa Washairi Wazamivu kushindwa kuzuia hasira zao kutoa dhamira ya ushairi wao au kwamba shauku haitasubiri!, Tulimsikia na kumwona baba Mzee Mutaragara Chirangi (RIP), akionyesha uvumilivu katika anga za Siasa kwa hali isiyotegemewa. Ni siku nyingine tena leo, ikiwa imetimia takribani miaka minne tangu atutoke duniani, tunaendelea kupata kumbukizi la changamoto toka maisha ya huyu mzee wetu. Katika anga za ki- Siasa hususan baada ya chaguzi, uwezo wa Binadamu wengi kuweza kuvumilia au kunyenyekea au kuonyesha subira au kujizuia kusema au kufanya jambo ambalo halina tija wala maendeleo ya mwanadamu kwa leo na kesho, ni mdogo sana. Dhamira ya uvumilivu aliyoitangaza mzee Chirangi kwa vitendo, kamwe haikumaanisha kushindwa kudai haki

MIRADI YA TASAF INALIWA NA WAJANJA WACHACHE

Image
Meya wa Manispaa ya Musoma Alex Kisurura akitazama sakafu iliyovunjwa na wanakamati wakidai eti ni mbovu baada ya kuletewa fedha zingine za kukamilishia jengo habari hii ni kutoka www.mwanawaafrika.blogspot.com

TRENI YA KWENDA KIGOMA YAANZA

Image
WAZIRI wa Uchukuzi, Omary Nundu amezindua safari ya treni ya pili inayosimamiwa na Kampuni ya Reli nchini (TRL) Kwenda Mkoa wa Kigoma kufuatia shida ya usafiri inayowakabili wakazi wa mkoa huo. Kuzinduliwa kwa treni hiyo kunatarajiwa kupunguza adha ya usafiri inayowakabili wakazi wa mkoa huo kwa kipindi kirefu sasa. JE HUDUMA HII NI KWA SIKUKUU TU? Akizungumza na baadhi ya abiria waliokuwa ndani ya treni hiyo jana,Waziri Nundu alisema kuzinduliwa kwa treni hiyo kutawasaidia wananchi kwenda kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya ambapo Serikali imeamua kuruhusu treni hiyo ianze kazi ili kusafirisha abiria wanaopenda kwenda kula sikukuu ya mwaka mpya katika mikoa ambayo treni hiyo inapita. STESHENI YA MWANZA, ZAIDI YA KUSAFIRISHA MIZIGO, KITUO HIKI HAKIJATOA HUDUMA YA USAFIRI KWA ABIRIA TANGU ZILIPOSITISHWA HUDUMA ZA TREN. Hata hivyo wakati Nundu akizindua safari ya treni hiyo ilibainikia kwamba menejimenti ya Shirika la Reli nchini (TRL) inayongozwa na wawekezaji kutoka India hawakufurahis

Rick Ross – Ashes To Ashes Download Hip Hop Music

Image
download it from http:/ /www.dopehood.com/

SIFAHI ALBUM LAUNCH

Image

POZI LA KUFUNGIA MWAKA

Image
hapo vipi? kuna utata?

KELVIN WA BBA ATUA BONGO KWA MAANDALIZI YA HARUSI

Image
Big Brother Africa winner wa mwaka 2009,Kelvin Chuwang Katua Bongo kwa ajili ya maandalizi ya Harusi yake ambayo inafanyika mapema next week,posa with all that keshatoa na anasubiri harusi yake na Elizabeth Gup t a. source www.kilinyepesi.blogspot.com/