Posts

MCHINA ALIYEUAWA NA MAJAMBAZI ACHOMWA MOTO

Image
Marehemu enzi za uhai wake. Askari wa kikosi cha usalama barabarani akiongoza msafara kwenda eneo la kuchomea maiti. Mwanamke wa Kichina aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi Jumanne iliyopita sehemu ya Kurasini jijini Dar es Salaam Han Bing leo mwili wake umechomwa moto kwenye eneo maalum la shughuli hiyo liitwalo Shree Hindu Mandal, lililoko Kijitonyama, jijini Dar es Salaam ikiwa ni kutimiza mila na desturi za jamii yake. Mwili ukishushwa kwenye gari baada ya kufika sehemu ya kuchomea. Ndugu na jamaa wa karibu na marehemu wakilia kwa uchungu. Waziri wa Nishati na Madini, William Ngereja, akisoma risala kwa waombolezaji. Mwili ukiwa tayari kwa ajili ya kuchomwa. Waziri Ngereja (kushoto) akitoa heshima za mwisho kwa Kichina sambamba na Wachina wengine mbele ya sanduku lenye mwili wa marehemu. Akiwapa pole wafiwa. Vilio vikiendelea kila kona. Waombolezaji wakivitupia kwenye moto vitambaa vyeusi walivyovaa kwa ajili ya msib

WAREMBO WA CHUO KIKUU KUTOANA JASHO JUMAMOSI HII

Image
Shindano la kumsaka mrembo wa chuo kiu cha Kmpala International University 2011 litarajiwa kufanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Savanna Lounge (quality center) uliopo barabara ya Pugu,jumla ya warembo 12 wamejitokeza kuwania taji hilo siku ya tarehe 22 octoba. Shindano litapambwa na wasanii wa kizazi kipya kipya Dully sykes,D-nob,Ngoma za asili na vijana wa kutikisika(shers),mabali ya burudani hizo kutakuwa na suprize ya majai pamoja masupastaa wa movie. Miss Kampala Internationa 2011 imeandaliwa na serikali ya wanafunzi ikishirikana na wadau maarufu wa mabo ya urembo na mitindo nchini Tanzania,tiketi za fainali hizi zinapatikana CLOUDS fM,CHUONI KWAO,JB BELMONT HOTEL,SAVANNA LOUNGE(quality center)kitchen hut (mlimani city) kwa iasi cha 10,000/= (regular) na V.I.P 30,000/= Shindano hili limedhaniwa na Savanna Lounge hotel,Belmont hotel,clouds fm,Air Uganda na uniqueentertz blogspot.

MT.KILIMANJARO HAS BEEN NOMINATED AS ONE OF THE NEW 7 NATURAL WONDERS OF THE WORLD

Image
The voting competition is a global efforts,and one can vote and winning will benefit all Tanzanians. There is very little time to cast your vote and do your party to keep Tanzania on Top....vote now at www.new7wonders.com make sure you follow all steps after finishing to vote so as your vote to be counted

KIBENDI CHA MWANADADA BEYONCE KNOWLES .......

Image

SAUT BORN FIRE..WAS AWESOME!!!!

Image
Serikali ya Wanafunzi ya SAUT jana ilidhihirisha hisia zao za kuwajali wanajamii ya SAUT pale ilipoandaa moja bonge la party lililomshusha mtu mzima ROMA Mkatoliki kwa ajili ya kuwakaribisha Wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Msanii huyo wa Hip Hop nchini Roma Mkatoliki aliwapagawisha wanafunzi wa SAUT kwa kufanya show ya nguvu pande hizo on “Born Fire” ambayo ni event yakuwakaribisha mwaka wa kwanza 2011/2012 inayofanyika mwanzoni mwa kila mwaka wa masomo. Roma jana alipanda majira ya saa sita za usiku na kuanza kwa Akapela iliyowaacha baadhi ya mashabiki wake wapige kelele kwa kuimba Roma!!! Roma !!!Roma!!!.. Roma alimaliza na kibao chake cha Mathematics kilichowaacha mashabiki hoi katika tukio hilo. Pata matukio yote katika picha….. Fire was burning.... DJ Mussa kutoka Villa Club ya jijini Mwanza alikuwa ndie DJ wa usiku huo kwenye one 'n' Two... Ilikuwa ni nyomi mbaya pande zile pale.. Hata Kwetu wapo ..the local Artist in Mwanza akisababisha mbe