Posts

CHAMA CHA WANAFUNZI WANAOSOMA UHUSIANO WA UMMA NA MASOKO (SSPRA) WAFANYA SEMINA JUU YA MATUMIZI YA MTANDAO .

Image
Mkuu wangu wa kamati ya Uhusiano wa vyombo vya habari na Publication Bw. Francy Moses akiwasilisha mada yake ya juu ya kutumia mtandao na kufanya design ya publication mbalimbali. ME mwenyewe Nyanja kelvin Poti ambaye ni katibu mkuu wa kamati ya media relations and Publication ya SSPRA nikitoa mada juu ya maswala mazima ya mitandao wa internet na matumizi yake katika tasnia ya watu wa Mahusiano ya umma na Masoko. Baadhi ya wanachama wa SSPRA wakisikiliza semina hiyo kwa makini. Mdau Francy Moses (mwenye shati nyekundu) akirekebisha mambo mbele yake ni wanachama wa SSPRA katika semina hiyo.

WALIMU WATANGAZA KUGOMA NCHI NZIMA

Image
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu mgomo wa walimu nchi nzima utakaoanza mwezi Januari kama Serikali haitatimiza makubaliano yaliyofikiwa ya kuwalipa madai yao. CHAMA Cha Walimu Tanzania (CWT), kimetangaza mgomo wa walimu nchi nzima kuanzia Januari mwakani ikiwa ni hatua ya kuishinikiza Serikali iwalipe walimu deni la malimbikizo ya stahili zao mbalimbali, linalofikia Sh49.6 bilioni. Hatua hiyo imekuja baada ya Serikali kushindwa kutimiza ahadi yake ya kuanza kuwalipa walimu fedha hizo tangu Novemba mwaka huu. Rais wa CWT, Gratian Mukoba alisema jana jijini Dar es Salaam alipozungumza na wandishi wa habari kuwa Serikali iliahidi kuwalipa walimu Novemba hadi Desemba mwaka huu ili kumaliza deni hilo. “Natangaza kuwa shule zitakapofunguliwa mwezi Januari 2012, sisi walimu tutaendelea kuwa likizo mpaka kero zetu zitakapotatuliwa,” alisema Mukoba. Alisema tangu Juni mwaka huu,

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI MKOANI MWANZA

Image
Maandamano ya wadau wanaojishughulisha na mapambano ya kudhibiti UKIMWI katika jiji la Mwanza yakiingia katika uwanja wa Nyamagana Siku hii inatukumbusha kama sehemu ya jamii kupanga mikakati endelevu ya kuzuia Maambukizi mapya, kuzuia Unyanyapaa na kukabiliana na vifo vitokanavyo na UKIMWI. "Kiwango cha maambukizi katika jiji la Mwanza kimeshuka toka 12% mwaka 1999 hadi 5.7% mwaka 2007 hii ni kutokana na ushirikiano wa dhati kati ya Halmashauri ya jiji na wadau wake" Ilisema sehemu ya risala toka kwa wadau wanaojihusisha na masuala ua Ukimwi katika maadhimisho siku ya Ukimwi duniani desemba mosi 2011. Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Said Amanzi (shati la kitenge) akiwa na diwani wa kata ya Nyamagana Biku Khotecha kwenye Maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza. "Tathmini mbalimbali zinaonyesha kuwa bado kuna mianya ya mtu kuambukizwa VVU katika jamii kupitia ngono zembe na mtu aliyeambukizwa na VVU. Sababu nyingine ni pamo

Jitokeze kesho, 2nd Dec, 2011 Ukumbi IFM ktk Mkutano wa wadau ulioitishwa na TANESCO!Kukataa ongezeko la bei ya umeme

Kesho tarehe 2 Disemba 2011 katika Ukumbi wa Makumbusho Dar es salaam (mkabala na IFM) kuanzia saa 4 asubuhi EWURA imeitisha Mkutano wa Wadau kujadili ombi la TANESCO la kupandisha bei ya umeme kwa wastani wa 155% (zaidi ya mara tatu ya bei ya sasa). Nawaomba wanamtandao wote tuhamasishe umma kwa kutumia TEHAMA (sms, facebook, twitter, email na njia nyingine) ili wananchi waweze kuhudhuria mkutano husika kwa wingi na kutoa maoni. Mtakumbuka kwamba tarehe 23 Novemba 2011 nilitoa taarifa kwa umma kwamba Serikali inapaswa kusitisha ombi la dharura la kupandisha bei ya umeme kwa kiwango kikubwa ili kuepusha athari katika usalama na uchumi kutokana na mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha. Aidha, serikali inapaswa kuchukua hatua za haraka kulinusuru Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) dhidi ya mzigo mkubwa wa gharama unaotokana na ufisadi wa muda mrefu katika mikataba ya gesi asilia na gharama za mitambo ya kufua umeme wa dharura badala ya kuweka mkazo katika ku

How to Write a Business Proposal

You have a great idea for a new product or service. Before a bank or investment firm will lend you money to get off the ground, you'll need to craft a solid business proposal. Follow these relatively simple steps to get your foot in the door on getting enough mullah to survive the arduous task of developing your product and making your dream a reality. 1. Talk with somebody who has written several successful business proposals. Ask what worked and what didn't. 2. Outline a two-part proposal. The first part will describe the business opportunity and your plans to take advantage of it. The second will present financial data - tax returns, a balance sheet and a summary of your operating plan. 3.Write the proposal. Limit the first part to 10 pages. Make it concise and clear. When describing the market opportunity, cite sources. 4.Explain what makes you and your company different from competitors. Perhaps you have special skills and experiences. You might have a new technology. Talk

NIGERIA YAPITISHA SHERIA YA KUPIGA MARUFUKU USHOGA

Kwa kile Kinachoonekana kama kuikomoa Uingereza na wanaharakati wa haki za mashoga, Bunge la senate la nigeria limepitisha Sheria ya Kuzuia Ushoga nchini humu. Ikumbukwe kuwa katika nchi zilizo endelea Ushoga unachangia zaidi ya asilimia 60% ya Maambukizi ya VVU. Suala la Kujiuliza ni kuwa wakati tunasimamia maadili ya Kiafrika na kuepuka ukiritimba wa Nchi zilizoendelea wa masharti mabovu ya Misaada, Je hatua hii ina manufaa au hasara gani katika mapambano na VVU? . Mfano Tanzania VVU kwa mashoga ni zaidi ya 12%. Je ni busara kuufumbia macho ushoga kimaadili na kuendeleza harakati za kuzuia VVU kwa jamii hiyo? Au ni vema kufumba macho kwa wanaharakati wa haki za Jamii hiyo na Kusimamia maadili yetu? Majibu Unayo

HAPPY BIRTHDAY FREDRICK BUNDALA (SKYWIZZY)

Image

RAIS KIKWETE ATIA SAINI MUSWADA WA KATIBA.

Image
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Novemba 29, 2011, ametia saini Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011. Hatua hiyo ya Mheshimiwa Rais kutia saini Muswada huo inakamilisha safari ya kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011 baada ya Bunge kuwa limepitisha Muswada huo uliowasilishwa na Serikali katika kikao kilichopita cha Bunge. Aidha, kutiwa saini kwa Muswada huo ili uwe Sheria ni hatua kubwa na muhimu katika safari ya kutungwa kwa Katiba mpya ya Tanzania kama ilivyoahidiwa na Mheshimiwa Rais Kikwete katika salamu zake za Mwaka Mpya kwa wananchi Desemba 31, mwaka jana, 2010. Pamoja na kutiwa saini hiyo bado Serikali itaendelea kusikiliza maoni na mawazo ya wadau na wananchi mbalimbali kuhusu namna ya kuboresha sheria hiyo. Hivyo, Mheshimiwa Rais Kikwete anatoa wito kwa mwananchi yoyote mwenye maoni ama mawazo ya namna ya kuboresha Sheria hiyo,

MwanaFA ft Linah - Yalaiti Lyrics

Image
Sshhhh,classic classic.. Keeping the good music alive, That's me job, You my sunshine my moonlight and everything I dream about, Linah,let's go.. Chorus.. Yalaiti,napenda pasi kifani/ Tofauti,sikutilii moyoni/ Sikuachi,leo na kesho peponi/ Anh anh anh anh anh anh I love you/ Verse I Sambaza love kama dawa/ huachi mpaka napagawa/ hata ukisema mi sio Hamis natingisha kichwa/ mapenzi yako yanielemea ka chupa nzima ya tequila/ usirushe somo nakupenda acha masihara/ ina haja gani unishikie fimbo ili nikuskize ka gorilla/ mi ni mtu na mapenzi yangu nishaacha zamani usela/ una matatizo najua,na mi nna yangu boo/ we sit together from this moment,we see them through/ nikikukosea nisute,nipige vibao,nizodoe/ ninunie kwa siku kadhaa ila nnachoomba usinikimbie/ mapenzi ya utemi kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo/ ukiniudhi ntapiga kwa khanga ndio nimefunzwa Tanga hivyo/ utaoga mabusu nikufute kwa kumbatio/mpaka kama nikisafiri ukinikumbuka iwe kilio/ sipendi mapenzi napenda mapenzi

MANENO KUTOKA KWA PANCHO

Kutoka kwenye wall ya facebook ya producer Pancho Magawa Saymon kasema haya ‎...Ma Fans Latino Nation nielewen Nimesema Sifanyi kazi tena na Joh bt sijasema nina Bifu nae,Sina Bifu na mtu This is True Say ...."Joh Makini what the hell iz that meeeen,Umerekodi ngoma bure credit pia za studio umeshindwa kutoa kwenye Crap Video yako.Um Fed Up Official with You this is Bushit.You pamoja na Huyo Adam juma"

BLACK ON BLACK ALBUM LAUNCH PARTY

Image

KUTOKA SAUT: SHEREHE ZA MAHAFALI YA 13 YAFANA SANA

Image
Wadau wakiwa tayari kwa kutunukiwa shahada zao Ni siku ya furaha kwa kila mhitimu MC wa sherehe hizo za leo Lulu Sanga akiwa kazini kwa kutoa utaratibu katika mahafali hayo. Mwanafunzi bora wa mwaka huu, Joseph Masaba aliyevunja rekodi ya kwa kupata First Class ya 4.7 akipongezwa na mgeni Rasmi Mhashamu baba askofu Jude Thadaeus Ruwa’ichi Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Agustino katika mahafali hayo katika viwanja vya Raila Odinga. Mwanafunzi aliyefanya vizuri kwa upande wa Masters Degree kwa kupata daraja la kwanza la 4.5, Mgisha H. Steven aliyekuwa akisoma shahada ya pili ya sheria akitoka kutoa heshima kwa mgeni rasmi.