Posts

HIVI NDIVYO MASTAA WALIVYONG'ARA USIKU WA GRAMMYS AWARDS

Image
       Who look gorgeous between Rihanna v/s Kelly Rick Ross brought his rainbow v-neck swag to the Grammy red carpet Tyga and Birdman got their lil shine too…

KATUNI YA LEO........

Image
 

ZAMBIA WASHINDI WA FINAL ZA AFRICA CUP OF NATIONS.

Image
    PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA MATUKIO WAKATI WA MECHI NA BAADA YA USHINDI WA ZAMBIA   Zambia imechukua ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2012 baada ya kuwafunga Ivory Coast kwa mikwaju ya penati 7-8. Mchezo huo ulimaliza dakika 90 za kawaida, kabla ya kwenda muda wa ziada, na hadi katika mikwaju ya penati. Awali nahodha wa Ivory Coast, Didier Drogba alikosa penati ambayo ingeipa ushindi kabla ya kumalizika kwa dakika 90 za kawaida. Ivory Coast wamekosa penati 2 kati ya walizopiga ambapo Kolo Toure na Gervinho walikosa mikwaju hiyo. Ivory Coast wataendelea kusubiri kunyakua kombe hilo, licha ya kuwa na wachezaji kadhaa wanaocheza Ulaya hasa katika Ligi Kuu ya England. Tembo wa Ivory Coast walipoteza katika mchezo wa fainali mwaka 2006 dhidi ya Misri kwa mikwaju ya penati. Lakini kwa Chipolopolo, ambao wamewahi kushika nafasi ya pili mara mbili, wamemaliza kwa ushindi kwa kuhanikizwa na vifo vya wachezaji wenzao mwaka 1993, baada ya

CELEBRITIES ON WEEKEND

Image
SPENDING TIME WITH HIS FAMILY  SHOPPING  HEALTH CHECK-UP  TIME WITH FAMILY BUSINESS MEETING

ALICHOKISEMA FID Q TZ HipHop!

Image
Fid Q. Miaka 11 ya “FidQ.com” Kitu chochote kile kinaweza kuchukuliwa kama kazi ya sanaa, ila inategemea mtazamo wa hadhira ukoje juu ya kitu au kazi husika. Kwa upande mwingine, historia — hasa za jamii au vikundi vya jamii vilivyokuwa na vinavyoendelea kukandamizwa kwa namna moja au nyingine — husema vingine. Sanaa imekuwa ni mojawapo ya zana zinazotumiwa kufungua macho na fikra za watu kwenye jamii mbalimbali, katika vipindi tofauti. Mfano mzuri ni ndugu zetu wa Afrika Kusini. Wakati wa utawala wa kibaguzi (herufi ndogo zimetumiwa kwa makusudi), watu waliokuwa wanaangaliwa kama viongozi walikuwa hawaruhusiwi kukutana au kuongea na mtu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Lakini harakati zao hazikugota; waligeukia sanaa — wakatumia kazi za sanaa kuamsha watu. Kwa hapa nyumbani, historia sio tofauti sana. Wazazi wetu waliokuwa kwenye harakati za kuusaka Uhuru walitumia mpaka ngonjera za mashuleni kuwasilisha sera za TANU, ASP na vyama vingine vya siasa. Kiz

*R.I.P* Whitney Houston Dead At 48

Image
This one just hit us like a rock! Whitney Houston died this afternoon (USA)HRS… a rep for the singer told the Associated Press. Houston won two Emmy Awards, six Grammy Awards, 30 Billboard Music Awards, 22 American Music Awards during her record-breaking career. Her album “Whitney” was the first female album to ever debut at #1 on the Billboard Charts. She has sold 200 albums world wide. Houston holds an Honorary Doctorate in Humanities from Grambling State University in Louisiana. Houston had one child, Bobbi Kristina, with husband Bobby Brown. Houston and Brown were married from 1992-2007. Paramedics were called to the Beverly Hilton today when Houston was found unresponsive in her hotel room … sources tell TMZ. We’re told police arrived to the scene within minutes and fire was already there on another call. According to our sources, paramedics performed CPR but it did not work and she was pronounced dead at 3:55 PM. Our sources say there were to signs of foul

R.I.P WHITNEY HOUSTON

Image
Kupitia vyombo vya habari mbalimbali zikiwemo mitandao ya kijamii kama facebook na twitter imedhibitisha kutoa kwa kifo cha Mwanamziki wa miondoko ya R&B Whitney Houston.......habari kamili za chanzo cha kifo chake zitawaijia hivi punde baada ya kupata uhakika.

How to Create a Winning Business Name

What’s a winning business name? A business name that draws business in itself. Creating a winning business name takes some thought but is one of the most important things you’ll do during the process of starting a business. Starting out with a weak business name is like trying to golf with only one club in your bag. You may sink some shots but it will be a whole lot harder. So how do you create a winning business name? Get your family, friends and/or colleagues together for a business name brainstorming session and work through these five rules for choosing a business name: 1) A winning business name has to be memorable – but easy to spell. Obviously, your potential customers and clients need to be able to remember your business name. But they also need to be able to find it easily if they’re looking for it in a phone book, directory or online. So choosing a business name such as “Crychalwellyn” is a bad idea. Unique is good but difficult spellings are a bad idea

DALADALA IN ROCK CITY.....

Image
Daladala katika mitaa ya Mwanza. K ile kipindi cha Daladala kinachorushwa kila siku kupitia ITV kikifanyika ndani ya Daladala ambamo humo abiria hujadiliana masuala mbalimbali yanayozunguka katika harakati za maisha yao ya kila siku, sasa ni zamu ya mkoa wa Mwanza hivyo basi ukikutana na Daladala maeneo ya Nyegezi, Kilimahewa, Pansiasi, Igombe, Igoma, Mabatini, Magu na kwingineko kote panda kisha husika.... Mtangazaji wa kipindi cha Daladala kinachorushwa kupitia ITV Daniel Kijo akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Mwanza Erenest Ndikilo, pindi crew ya kipindi hicho ilipodhuru ofisini kwa mkuu huyo jijini Mwanza leo tayari kuanza shughuli zake rasmi kuanzia wiki ijayo siku ya jumatatu. Jenerali Ulimwengu akizungumzia mdahalo wa Uhuru wa vyombo vya habari uliofanyika jana katika chuo cha SAUT -Mwanza . Mdahalo ulilenga kuainisha maeneo yanayohusiana na uhuru wa vyombo vya habari ni changamoto zipi, matatizo yapi, wapi kunahatarisha uhuru wa tasnia ya habari, ni namna gani y

Rose Muhando Apata Mkataba wa kufanya Kazi na Kampuni ya Sonny Music Manusha Sarawan akielezea mchakato ulivyokuwa hadi kumpata Rose Muhando Mtumishi wa Mungu na muimbaji wa nyimbo za injili kutoka Dodoma Tanzania Rose Muhando ametangazwa kuwa msanii wa kwanza Afrika kuchaguliwa kuingia mkataba na kampuni kubwa na maarufu duniani inayojihusisha na biashara ya muziki ya SONY ukiachilia mbali wasanii kutoka nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Sonny Mama Manusha Sarawan, Mchakato huo ulishirikisha zaidi ya wanamuziki 100 kutoka barani Afrika na Rose akaibuka mshindi.Mkutano wa kumtangaza Rose mhando kama mshindi wa shindano hilo ulifanyika leo katika Hoteli ya kilimanjaro. Bahati Bukuku, Diamond pamoja na Ali Kiba wakifuatilia kwa makini mkutano huo hivi leo kampuni za Sony na Rockstar 4000 iliyowahi kumpa msanii wa bongo fleva Ally Kiba jukumu la kufanya nyimbo ya pamoja na R.kelly ndio zimetangaza kuhusu jambo hili leo Dar es salaam.Mwakilishi wa Rockstar 4000 upande wa kipaji Afrika Seven Mosha amesema japo kwa sasa hawawezi kutaja kiwango cha pesa atakachopata Rose Muhando baada ya kupata hilo dili, mkataba wake ni wa miaka mitano. Amesema baada ya movie zake kutengenezwa, vitabu vyake pamoja na vitega uchumi vingine ndio wataanza kutaja mapato yake.Seven amesema katika mchujo walioufanya mpaka kumpata Rose Muhando, ulihusisha wasanii wengine nane wakubwa wa Tanzania, waimbaji wa Gospel na Bongo Fleva na pia walikua na idadi nyingine kubwa ya wasanii wa nchi nyingine za Afrika kama Nigeria ambapo mwishoni mtumishi wa Mungu Rose Muhando akashika nafasi ya kwanza. Wanamuziki wa injili John Shabaani na Bahati Bukuku wakimpongeza Rose Muhando ukumbini hapo. Katika mkataba huo, tayari Rose Muhando amerekodi album nzima Afrika kusini kazi ikiwa imesimamiwa na Sony ambapo amepata nafasi ya kushirikiana katika nyimbo na na wanamuziki wengine wakali wa gospel wa nchi hiyo ambao watatajwa hivi karibuni. Rose Muhando amekuwa akifanya vizuri kwenye Mauzo ya album zake na kwa sasa ndiye Mwanamuziki anayeongoza kwa mauzo ya album zake nchini. Kwa mujibu wa Seven amesema mkataba huo haumfungi Rose Muhando kurekodi nyimbo zake na studio yoyote Tanzania, japo mpango wa Sony sasa hivi ni kumpeleka juu zaidi kwenye mauzo ya kimuziki Afrika ambapo atatumia lugha hiyo hiyo ya kiswahili. Rose Muhando ameingia katika orodha ya wanamuziki mbalimbali wakubwa Duniani wanaofanya kazi na Kampuni ya Sonny. Music

Image
Manusha Sarawan akielezea mchakato ulivyokuwa hadi kumpata Rose Muhando Mtumishi wa Mungu na muimbaji wa nyimbo za injili kutoka Dodoma Tanzania Rose Muhando ametangazwa kuwa msanii wa kwanza Afrika  kuchaguliwa kuingia mkataba na kampuni kubwa na maarufu duniani inayojihusisha na biashara ya muziki ya SONY  ukiachilia mbali  wasanii kutoka nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Sonny Mama Manusha Sarawan, Mchakato huo ulishirikisha zaidi ya wanamuziki 100 kutoka barani Afrika na Rose akaibuka mshindi.Mkutano wa kumtangaza Rose mhando kama mshindi wa shindano hilo ulifanyika leo katika Hoteli ya kilimanjaro. Bahati Bukuku, Diamond pamoja na Ali Kiba wakifuatilia kwa makini mkutano huo hivi leo kampuni za Sony na Rockstar 4000 iliyowahi kumpa msanii wa bongo fleva Ally Kiba jukumu la kufanya nyimbo ya pamoja na R.kelly ndio zimetangaza kuhusu jambo hili leo Dar es salaam.Mwakilishi wa Rockstar 4000 upande wa kipaji Afrika

THANKS GOD

Nashukuru Mungu kwa kumaliza mitihani,( UE )kwani kuna mengi yanatokea wakati wa kufanya mitihani hiyo sa zingine unaweza kuugua ghafla so ni jambo la kumshukuru pia,kilichobaki ni kusubilia kuvuna nilichopanda. Nawashukuru pia wapenzi wa blog hii kwa kuwa wavumilivu kipindi chote nilichokuwa kimya bila kuuptodate,lakini nimerudi so kazi imeanza.............................

SAMAHANI SANA WAPENZI WOTE WA BLOG HII

WAPENZI WA BLOG HII NIMEBANWA NA MITIHANI YA KUMALIZA SEMISTER YA KWANZA HIVYO NAOMBA MNIVUMILIE KIDOGO MPAKA HAPO TAREHE 8/2/2012 NDIO NITAKUWA NAMALIZA MTIHANI,LAKINI KAMA ITATOKEA NAFASI BASI INFO ZITAKUWA ZINAPATIKANA PIA SAMAHANI SANA