Posts

TAARIFA KUTOKA TCU KUHUSU UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013

UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (‘ Tanzania Commission for Universities ’ -TCU ) ikishirikiana na Baraza laTaifa la Elimu ya Ufundi (‘ National Council for Technical Education’ - NACTE ) pamoja na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu ( Higher Education Students Loans Board ) inapenda kuutarifu umma kuhusu utaratibu wa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2012/2013 kupitia mifumo ya “Pre-entry”, “Mature Age Entry”, “Equivalent Qualifications” na mfumo wa pamoja wa udahili (‘Central Admission System’) na utaratibu wa mikopo kama ifuatavyo: 1.      MFUMO WA UDAHILI KUANZIA MWAKA 2012/13 1.1 Utaratibu wa Kuendesha Program za “Pre-entry” na “Mature Age Entry” Kuanzia mwaka huu 2012, vyuo vyote vitakavyotaka kuendesha mafunzo ya awali kabla ya mwombaji kustahili kudahiliwa ili kuweza kujiunga na programu za elimu ya juu (pre-entry programmes) pamoja na kuendesha mitihani ya kupitia mfumo wa “Mature Age Entry” vinatakiwa kuwasilisha prog

BROKEN HEART DANCE by SOLO THANG ft NIAMH CHAMBERS(OFFICIAL VIDEO)

Image

download new song of Linex ft Diamond - Nitaificha wapi

download pia SUMA LEE-Atoke Nje source www.djchoka blogspot.com

Happy Birthday Erick Charles

Image
Dear brother, it's difficult for me to pour out all my wishes for you in one single line, but all I can say is that I owe many of my happy times to you. May you have the best of Birthdays and successful years ahead.

HAPPY BIRTHDAY ANDREW MABEBA

Image
Happy Birthday to a wonderful brother and good friend.

MPIGIE KURA MALFRED ALFRED

UJUMBE WA KUTOKA KWA RAFIKI YANGU MALFRED ANAOMBA MPENZI WA BLOG HII UMPIGIE KURA KATIKA KILIMANJARO MUSIC AWARDS Napenda kuwafahamisha marafiki wangu wote na mashabiki wangu kuwa baada ya kuchaguliwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mwanamuziki bora wa Reggae na Ragga katika Tuzo za Kilimanjaro Music Awards kwa mwaka huu 2012 nilifanikiwa kuingia na nyimbo tatu, Katika Category ya RAGGA/DANCEHALL nina nyimbo mbili POYOYO na KUDADADEKI, Na katika Category ya REGGAE nina wimbo MAZINGIRA FT LUTAN FY AH, Ni wakati wangu wakukuomba kura yako kwa hali na mali ukiwa kama Ndugu,Rafiki,Shabiki,na hata adui pia kwani kura yako itaniwezesha kushinda. Ili kuzipigia kura nyimbo zangu KATIKA CATEGORY YA RAGGA/DANCEHAL nenda sehemu ya kuandikia sms katika cm yako andika "M4"kisha tuma kwenda 15747 hapa utakuwa umeipigia kura "KUDADADEKI" na ukiandika "M5"kwenda 15747 hapa utakuwa umeipigia "POYOYO" pia kuna njia nyingin

HAPPY VALENTINE'S DAY

Image
Real love is not based on romance,Candle light, dinner and walks along the beach.In fact, it is based on Respect, Compromise,Care and Trust...wish all the fans of this blog.......happy Valentine's

Download Nyimbo mpya ya bi.cheka na ya Godzilla

Download  nyimbo hiyo hapa Godzilla ft Joti- la kuchumpaaa download pia hapa Sajna-Mbalamwezi pia unaweza kudownload

HIVI NDIVYO MASTAA WALIVYONG'ARA USIKU WA GRAMMYS AWARDS

Image
       Who look gorgeous between Rihanna v/s Kelly Rick Ross brought his rainbow v-neck swag to the Grammy red carpet Tyga and Birdman got their lil shine too…

KATUNI YA LEO........

Image
 

ZAMBIA WASHINDI WA FINAL ZA AFRICA CUP OF NATIONS.

Image
    PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA MATUKIO WAKATI WA MECHI NA BAADA YA USHINDI WA ZAMBIA   Zambia imechukua ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2012 baada ya kuwafunga Ivory Coast kwa mikwaju ya penati 7-8. Mchezo huo ulimaliza dakika 90 za kawaida, kabla ya kwenda muda wa ziada, na hadi katika mikwaju ya penati. Awali nahodha wa Ivory Coast, Didier Drogba alikosa penati ambayo ingeipa ushindi kabla ya kumalizika kwa dakika 90 za kawaida. Ivory Coast wamekosa penati 2 kati ya walizopiga ambapo Kolo Toure na Gervinho walikosa mikwaju hiyo. Ivory Coast wataendelea kusubiri kunyakua kombe hilo, licha ya kuwa na wachezaji kadhaa wanaocheza Ulaya hasa katika Ligi Kuu ya England. Tembo wa Ivory Coast walipoteza katika mchezo wa fainali mwaka 2006 dhidi ya Misri kwa mikwaju ya penati. Lakini kwa Chipolopolo, ambao wamewahi kushika nafasi ya pili mara mbili, wamemaliza kwa ushindi kwa kuhanikizwa na vifo vya wachezaji wenzao mwaka 1993, baada ya

CELEBRITIES ON WEEKEND

Image
SPENDING TIME WITH HIS FAMILY  SHOPPING  HEALTH CHECK-UP  TIME WITH FAMILY BUSINESS MEETING