Posts

J.LO NA MPENZI MPYA.......

Image
Hivi ndivyo Jennifer Lopez alivyoonekana jana huko Hollywood Marekani wakati akienda kutangaza Tour yake ya dunia atakayokua na Enrique Iglesias, She paired the $7800 dress with a pair of black platform Giuseppe Zanotti pumps which gave her a few extra inches in height compared to her new boo Casper Smart. J.lo akiwa na boyfriend wake mpya ambae amechukua nafasi ya mumewe wa zamani mwimbaji Marc Anthony.

Matokeo: Sekondari 10, Wanafunzi 5 bora Sayansi, Biashara, Lugha

  Rekodi zilizowekwa katika matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa kidato cha sita 2012 Sekondari zilizofanya vizuri zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa 30 au zaidi: 1. Marian (wasichana) - Pwani 2. Feza (wavulana) - Dar es Salaam 3. Kisimiri - Arusha 4. Kibaha - Pwani 5. Ilboru - Arusha 6. Mzumbe - Morogoro 7. Msalato - Dodoma 8. Tabora (wavulana) - Tabora 9. St. Mary's Mazinde Juu - Tanga 10. Consolata Seminari - Iringa Sekondari iliyoongoza kwa kufaulu katika kundi la shule zenye watahiniwa chini ya 30: 1.       Uru Seminari 2.       Iwawa 3.       Maua Seminari 4.       Harrison Uwata 5.       Beroya 6.       Palloti 7.       Lutengano 8.       Makita 9.       Mwanga 10.   Visitation (wasichana) Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Sayansi 1. Faith Assenga - Marian 2. Zawadi Mdoe - Feza 3. Belnadino Mgimba - Minaki 4. Jamal Juma - Feza 5.Imaculate Mosha - Marian Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Biashara 1. Alex Isdor - Kibaha 2. Ephraim Tumwidike - St Joseph's Cat

Mahakama yathibitisha Mahanga ndiye Mbunge halali wa Segerea

Image
Dkt. Mahanga Mbunge wa Segerea, Dkt. Milton Makongoro Mahanga (CCM) amekitetea vyema kiti chake cha Ubunge wa Segerea, Dar es Salaam kwa kushinda kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo Fred Mpendazoe (CHADEMA) iliyokuwa inapinga ushindi uliopatikana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2010. Mpendazoe anapaswa kulipa gharama zote za kuendesha kesi hiyo. Hukumu ya kesi hiyo namba 98 ya mwaka 2010 iliyosomwa leo na Jaji Profesa Ibrahimu Juma ambaye amekuwa akiisikiliza tangu ilipofunguliwa Novemba 10, 2010,  ilikuwa ikipinga ushindi wa Mahanga kwa madai kuwa sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi zilikiukwa katika hatua ya kuhesabu, kujumlisha kura na kutangaza matokeo. Mbali na Dkt. Mahanga ambaye alikuwa mdaiwa wa pili katika kesi hiyo, mdaiwa wa kwanza alikuwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na wa tatu alikuwa ni Msimamizi wa Uchaguzi (RO), katika jimbo hilo. Kutokana na dosari hizo, Mpendazoe ambaye alikuwa akiwakilishwa na Wakili Peter K

Tovuti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali/National Audit Office website

Bofya anwani ya tovuti  www.nao.go.tz  kuperuzi na kusoma makabrasha ya Taarifa za Mkaguzi Mkuu wa Serikali.

KWELI UPEPO UNAKWENDEA VIZURI DIAMOND MUDA WAKO NDO HUU UTUMIE VIZURI

Image
akitoa 'saluti; kabla ya ndege kupaa kuelekea kiwanja cha Dar Live, Mbagala .akisali kumuomba Mungu amfikishe salama ... Helikopta ikiwa mita chache juu wa Dar Live ikizunguruka, ambapo Diamond alisalimia mashabiki akiwa angani kwa kutumia 'Wireless Mic' .Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live unavyoonekana kwa juu

MKUU WA MKOA WA MWANZA AONGOZA SHEREHE ZA MEI MOSI MKOANI MWANZA

Image
"Ndugu zangu ila tukumbuke kuwa kama tunadai maslahi bora basi tujuwe uzalishaji wa tija lazima uongezeke tufanye kazi kwa bidii, ubunifu na tija" Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Eng. Ernest Ndikilo akijibu risala ya wafanyakazi wa mkoa wa Mwanza kwenye sherehe za mei mosi 2012 zilizofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Katibu wa kanda TPAWU ambaye pia ni mratibu wa mei mosi Mwanza Cecil Haule akimkabidhi risala mh. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Ernest Ndikilo ambapo kwenye hitimisho risala hiyo imeiomba Serikali sambamba na kupandisha kima cha chini cha mshahara pia imeimba Serikali kupunguza kodi ya mapato kwa Wafanyakazi hadi kufikia asilimia 9 na kwa bidhaa mbalimbali ambazo ni muhimu kwa mahitaji ya kila siku. Sherehe hizo zilianza leo asubuhi kwa maandamano na maonyesho ya kusisimua. Makampuni ya Ulinzi nayo yalinangwa katika hotuba ya mkuu wa mkoa kwani baadhi yao yameshafikishwa mahakamani kutokana na kutowalipa stahiki wafan

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA OUT

Kwa wale wanafunzi na watainiwa wa kujitegemea (Private candidate)waliomaliza kidato cha sita February 2012,na pia wenye ndugu zao ambao wamemaliza sasa waweza kuangalia matokeo hao kupitia website ya baraza la mitihani. www.necta.go.tz or admin.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm  or utawala.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm

ujumbe murua kabisa wa mei mosi leo jijini dar.

Image
Hawa ni wafanyakazi wa taasisi moja, wakikimbia na bango lao lenye ujumbe mwanana kabisa,kuwahi Mnazi Mmoja kwenye maadhimisho ya sikukuu ya Wafanyakazi a.k.a Mei Mosi

MAMIA WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA KIONGOZI WA CHADEMA-ARUSHA

Image
Jeneza lenye mwili wa marehemu Msafiri Jonathan Mbwambo (38) likishushwa kwenye gari kwa maandalizi ya wananchi kutoa heshima zao za mwisho katika viwanja vya Ngusero, Usa-River jana. Shughuli hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini, viongozi wa chama, RPC wa Mkoa wa Arusha, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, OCD wa Arumeru na wananchi wengine. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye (katikati) akifuatilia hotuba za wasemaji wa makundi ya jamii yaliyowakilishwa. Kutoka kushoto anaonekana kwa mbali Mh Vicent Nyerere (Musoma), Mh Joshua Nassari (Arumeru Mashariki), Mh Godbless Lema, Mh Cecilia (Viti Maalumu), Kamanda Andengenye, na OCD John wa Arumeru Kamanda Andengenye akisalimia wananchi. Baadae aliahidi kuwa Jeshi lake litatoa zawadi ya shilingi milioni 10 kwa mtu atakaesaidia kupatikana kwa waliohusika na mauaji hayo na kwamba Polisi watahakikisha wanawasaka wahalifu hao kwa udi na uvumba hadi wapatikane. Mbunge wa Arumeru Mash

MAGAZETI YA LEO JUMANNE

Image

MANENO YA MWALIMU J.K NDANI YA CCM KIRUMBA

Image
  Kauli ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa enzi za uhai wake wakati akiachia madaraka alinene hivi... na nukuu yake ikaandikwa katika moja ya eneo la jukwaa uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kama kumbukumbu, Je kauli hii ina maana gani kwa watu wa kizazi hiki? Nilikuwa nikijifikiria sana pindi nilipoyaana maneno haya wakati nilipokuwa uwanjani hapo siku ya Jumamosi iliyopita maneno yenyewe yanasema hivi  "MIMI NANG'ATUKA LAKINI NAENDELEA KUAMINI KUWA BILA CCM MADHUBUTI NCHI YETU ITAYUMBA"

MAONESHO YA SYRIA KIMATAIFA MWANZA

Image
Maonesho ya Syria kimataifa kufanyika jijini Mwanza kuanzia leo tarehe 1/05/2012 hadi 14/05/2012. Eneo la tukio ni Gold Crest Hotel, ukumbi wa Nyerere, Hotel iliyoko barabara ya Kenyeta jijini Mwanza. Sambamba na maonesho bidhaa mbalimbali zitauzwa. Hakuna kiingilio .