Posts

PICHA ZA SHOW YA LADY JAYDEE NYUMBANI LOUNGE.... WATU WALIJAA MPAKA WAKAANZA KUBEBANA

Image
Mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jaydee usiku wa kuamkia Jumamosi ya June 15 amefanikiwa kuweka historia kwenye muziki wa Tanzania kwa kulijaza eneo zima la Nyumbani Lounge alipokuwa akifanya show yake ya kuadhimisha miaka 13 tangu aanze muziki.  Katika show hiyo, Lady Jaydee amesindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo Juma Nature, Sugu, Profesa Jay, Wakazi, Grace Matata na wengine. Pia Jaydee ameitumia siku hiyo kuzindua albam yake mpya, Nothing But The Truth na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hizi ni picha za show hiyo. Picha  kwa  hisani  ya  Bongo5

DOWNLOAD NA SIKILIZA Becka Title ft.Mirror Blue-Usiku Wa Leo.[Prod.Teaz Villah Kita]

BINADAMU MWENYE UMRI MKUBWA DUNIANI AMEFARIKI AKIWA NA MIAKA 116

Image
Jiroemon Kimura wa Japan  ndiye binadamu  aliyeaminika kuwa ana umri mkubwa kuliko  yeyote duniani,amekufa akiwa na mri wa miaka 116 Aliwahi kuulizwa ni  nini siri ya mafanikio yake raia huyo wa Japan alisema ni kula chakula kidogo au kwa kiasi . Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na umri wa miaka 116. Sasa binadamu mwenye umri mkubwa kuliko wote ni raia mwingine wa Japan Misao Okawa, wa Osaka. Jiroemon Kimura alizaliwa 19 april 1897 na  amefariki 11 june 2013.

SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA LADY JAY DEE...."YAHAYA"

HII NDO LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA KILLLIMANJARO MUSIC AWARDS- 2013

Image
Usiku wa tuzo za KTMA ulipambwa na burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Linah, Amini, Richie Mavoko, Mataluma, Hussein Jumbe, Zahir Zorro, Patricia Hillary na Barnaba. Wengine ni Snura, Godzilla, Mabeste, Madee na Afande Sele. Host wa tuzo hizo mwaka huu alikuwa ni Zembwela na TJ. Hii ni list nzima ya tuzo hizo. Wimbo bora wa mwaka Dear God – Kala Jeremiah Msanii bora wa Kiume Diamond Msanii bora wa kike Lady Jaydee Msanii bora wa kike Taarab Isha Mashauzi Msanii bora wa kiume Taarab Mzee Yusuf Msanii bora wa kiume Bongo Flava Diamond Msanii bora wa kike Bongo Flava Recho Msanii bora wa Hip Hop Kala Jeremiah Msanii bora wa kiume Bendi Chalz Baba Msanii bora wa kike Bendi Luiza Mbutu Msanii bora anayechipukia Ally Nipishe Video bora ya mwaka Baadaye – Ommy Dimpoz Mtunzi bora wa mashairi Taarab Mzee Yusuf Mtunzi bora wa mashairi B

HAPPY BIRTHDAY CLASS MATE ELIADETHA EMMANUEL

Image
A birthday is a million moments, Each holding a promise of fulfillment of your dreams and accomplishments of some special plans May all your dreams and wishes come true!! Happy birthday!!

KWELI MANGWEA KIPENZI CHA WATU ANGALIA PICHA ZA WALIOJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WAKE

Image
Picha ni kwa hisani ya Michael Mlingwa (MX CARTER)

MISS MWANZA KUFANYIKA IJUMAA YA TAREHE 14/6/2013

Image
S indano la kumtafuta mrembo wa mkoa wa Mwanza, linatarajiwa kufanyika June 14 katika viwanja vya Yatch Club jijini Mwanza. Warembo 18 kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Mwanza wamejitokeza kushiriki shindano hilo la aina yake huku.     Burudani inayosubiriwa kwa hamu kubwa ni Mh.  Mbunge Joseph Mbilinyi maarufu kama sugu atakapo panda jukwaani kukumbushia enzi hizo...akishindikizwa na mkali mwingine wa Chege Chigunda kutoka TMK. Warembo wote wanatarajiwa kuanza kambi rasmi Jumanne hii katika moja ya hoteli maarufu jijini humo. Itakumbukwa mkoa wa M wanza tayari ulishatoa Mrembo wa Tanzania, ambaye ni Nasreem Karim 2009 na Miriam Gerald 2010. Pamoja na mchakato wa shindano la urembo kuendelea kwa hivi sasa nchini, macho na masikio yapo mkoani Mwanza, ambako kumekua kukileta changamoto na upinzani mkali wa warembo kila Mwaka.

MKUU WA MKOA WA MWANZA AFUNGUA KAMPENI YA USAFI JIJINI MWANZA

Image
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh.Evarist Ndikiro amefungua rasmi kampeni ya kuweka jiji la Mwanza katika hali ya usafi akishirikiana kwa ukaribu kabisa na Meya wa jiji la Mwanza Mh.Stanslaus Mabula, kampeni hii imeandaliwa na Halmashauri ya jiji la Mwanza ikishirikiana kwa ukaribu kabisa na chuo kikuu cha mtakatifu Agustino (SAUT) kilichopo jijini hapa. Kampeni hii inalengo la kutoa elimu na kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa kuliweka jiji la Mwanza katika hali ya usafi, kampeni hii imekuwa na kauli mbiu hii  "Pamoja Tuliweke Jiji letu safi " Mkuu wa mkoa wa mwanza MH.Evarist Ndikiro akiwa na baadhi ya viongozi wengine wa jiji la Mwanza katika kuzindua kampeni ya usafi leo katika jiji la mwanza. Wa pili kutoka kushoto ni Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus  Mabula pamoja na mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikiro katika kampeni ya usafi. Mkuu wa mkoa wa mwanza mh.Evaristi Ndikiro akifanya usafi wa jiji la mwanza leo. Wa pili kutoka kushoto ni meya wa jiji la mw

Top 20 World Most Beautiful Living Spaces

Image
The Heinz Julen Penthouse in Zermatt, Switzerland The Clock Tower Apartment in Brooklyn, NY The Yellowstone Club in Big Sky, Montana The Firefly ski chalet in Zermatt, Switzerland Resort in St. Lucia Chalet Brickell in the Rhone-Alpes, France Converted cathedral The Over Water Bungalow at Le Meridien in Bora Bora The Igloo Village in Kakslauttanen, Finland The Ladera Resort in St. Lucia Resort The Underwater bedroom in the Maldives The Garden House in Brazil The Pretty Beach House on the Bouddi Peninsula in Australia Jade Mountain in St. Lucia The Southern Ocean Lodge on Kangaroo Island in Australia The Tree House in Costa Rica The Redwood grove cabin in California The Royal Loft Suite aboard the Oasis of the Seas The Chalet Zermatt Peak in Switzerland The One Room Glass Iglo House