Posts

SWAHILI FASHION WEEK YA SITA YAZINDULIWA WABUNIFU 40 KUONESHA KAZI ZAO DAR ES SALAAM

Image
Maonesho ya sita ya Swahili Fashion Week yatafanyika Golden Tulip Hotel kuanzia tarehe 5 mpaka 8 Desemba 2013, Dar Es Salaam, Tanzania. Swahili Fashion week 2013 itakusanya wabunifu 40 kutoka ndani na nje ya Tanzania ili kuonesha mitindo yao, yenye kwenda na wakati na kutegemewa kushika soko la Afrika Mashariki mwaka 2014. “Swahili Fashion Week mwaka huu ina lengo la kuifikia jamii zaidi, na kukuza vipaji katika tasnia ya mitindo. Ni zaidi kuhusu kuthamini wabunifu wa kwetu na kuwatengezea jina,huku tukiwapeleka ngazi za juu zaidi kila mwaka” Akizungumza Bw. Washington Benbella, Meneja wa Swahili Fashion Week Ukiwa ni mwaka wa 6 wa Swahili Fashion Week, Katika mashindano ya wabunifu wanaochipukia, Waandaaji wamependekeza dhima ya mwaka huu (theme) “Evolution” ambayo inawataka wabunifu chipukizi hao kubuni mavazi yanayoashiria mabadiliko, si lazima upya, ila yenye muonekano wa kitofauti na mzuri. “Tunasisitiza jamii iunge mkono tasnia ya mitindo na kuvaa mavazi ya kik

KARIBU KATIKA KONGAMANO KUBWA LA AFYA NA MAHUSIANO LITAKALOFANYIKA KATIKA CHUO CHA SAUT: JUMAMOSI HII

Image
Jumamosi tar.19/10/2013 kutakuwa "KONGAMANO KUBWA LA AFYA NA MAHUSIANO" litakalofanyika katika Chuo Kikuu Cha St.Augustine, ukumbi wa M13 kuanzia saa tatu (03) asubuhi hadi saa saba (07) mchana. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Afya Mh.Husein Mwinyi,mgeni Maalumu ni Mh.James Mbatia (Mbunge na Mwenyekiti wa asasi ya Utu-Mtanzania) Kongamano hili lilikuwa liende sambamba na uzinduzi wa Kitabu kiitwacho “TUMAINI LANGU, ELIMU YANGU”kilichoandikwa na Godlisen Malisa aliyekuwa rais wa chuo mwaka 2012-2013. Kongamano hili nimeandaliwa mahususi kutoa nafasi kwa vijana wasomi kujadili kuhusu afya zao, mahusiano yao, na hatari ya maambukizi ya VVU kwa wasomi wetu. Kongamano litajumuisha uwasilishaji wa mada zilizofanyiwa utafiti wa kina juu ya MAHUSIANO HATARISHI yanayoweza kupelekea maambukizi ya virusi vya UKIMWI kwa vijana wasomi. Karibu uje ukutane na Waziri mwenye dhamana ya Afya uweze kuuliza mambo yote muhimu kuhusu wizara yake. Karibu ukutane na mwanaharaka

King's Entertainment Presents Lounching Night Party na Sam wa Ukweli , Alhamisi hii pale DenFrance Hotel

Image
King's Entertainment Presents Lounching Night Party na Sam wa Ukweli , Alhamisi hii pale DenFrance Hotel - Sinza kuanzia saa 3 usiku!!!!! Mtonyo wako wa Buku ten tu

JE UMEMALIZA CHUO CHA SAUT-MWANZA?PATA TAARIFA ZOTE ZA GHARAMA YA MAHAFALI NA MAHITAJI MENGINE HAPA

Image

BET HIP HOP AWARDS: HII HAPA ORODHA KAMILI YA WALIOJINYAKULIA TUZO USIKU WA HIP HOP

Image
  Usiku wa jana tarehe October,15 nchini marekani kumefanyika utoaji wa tuzo za wasanii bora katika tasnia ya mziki wa hip hop, waandaaji wa mziki (producer), ma djs, waongozaji wa video (video directors) pia na tuzo zingine mbalimbali, Muongozaji wa shughuli nzima ya utoaji wa tuzo hizo uliongozwa na Cali O.G.  Snoop Lion  – a.k.a. Uncle Snoop. Tuzo hizi za BET hip hop awards  ni tukio kubwa sana katika tasnia ya muziki wa hip hop ambapo udhuliwa na wasanii mbalimbali wa nchini marekani na hata nje ya Marekani. Ndani ya usiku huu Drake na Kendrick Lamar walipata tuzo sawa kwa kila mtu kuondoka na tuzo 5,kwenye gritty black-and-white cyphers underground walionyesha uwezo wao. zifuatazo ni vipengele vya tuzo hizo na mshindi wake Best Hip Hop Video: A$AP Rocky Feat. Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar, ‘Problems’ B.o.B Feat. T.I. & Juicy J, ‘We Still in This’ J. Cole Feat. Miguel, ‘Power Trip’ Drake, ‘Started From the Bottom’  — WINNER Kendrick Lamar, ‘Don’

NAWATAKIA EID NJEMA

Image

VIDEO:NEW VIDEO Azma WANASUBIRI NIFE DIRECTED BY KINYE MEDIA

TWEETS: JIONEE MWENYEWE TWEETS HIZI ZA WATU WAKIMWAMBIA MWALIMU NYERERE KUHUSU TANZANIA YA LEO

Image
 

VIDEO:ANGALIA VIDEO HII YA KUMBUKUMBU YA MWL. NYERERE ILIVYOAZIMISHWA NCHINI MAREKANI KATIKA CHUO CHA HOWARD MWAKA 2012

KUMBUKUMBU: PUMZIKA KWA AMANI. MWALIMU JULIAS KAMBARAGE NYERERE

Imetimia miaka 14 tangu Baba wa taifa ili la Tanzania  Mwalimu Julias Kambarage Nyerere,alipofariki nchini Uingereza katika hospitali ya st. Thomas alipokuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiharusi na shinikizo la damu,  katika kumbukumbu hii nawapatia video hii  uitizame na kuitafakari kwa kina kuwezasha ubongo wako kupata rutuba ya kufikiri. Mwalimu ataendelea kukumbukwa kwa mengi ikiwemo upendo, mpinga rushwa,mchapa kazi,kiongozi hasiye mbinafsi, mpenda haki na sifa nyingi kemkem ambazo viongozi wa leo katika bara ili la Afrika wamezikosa.

MUSIC: DOWNLOAD NA KUSIKILIZA OPEN SPACE(NAFASI) YA SHASHOW BAMMY FT KINYE

VIDEO:Watch the brand new video From Ondy G - Waite Polisi