Posts

TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA

1. Utangulizi Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya chama iliyotolewa katika mkutano na waandishi wa habari siku ya Ijumaa tarehe 22 Novemba 2013, ilielezwa kwamba sababu za kuvuliwa uongozi mimi na Dk Kitila Mkumbo ni uhaini na hujuma kwa chama kutokana na waraka unaojulikana kama mkakati wa uchaguzi 2013. Ukweli ni kwamba waraka uliotajwa si sababu ya mimi kuvuliwa nafasi zangu za uongozi kama ilivyojadiliwa katika Kikao cha Kamati Kuu. Sababu za kufukuzwa kwangu kama zilizojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ni tuhuma lukuki ambazo si mara yangu ya kwanza kuzisikia zikijadiliwa ndani na nje ya vikao vya chama. Hitimisho la tuhuma hizi ni kwamba mimi nimekuwa nikikisaliti chama kwa kutumika na CCM na Usalama wa Taifa. Nitazianisha tuhuma hizi na kuzijibu kama ambavyo nimekuwa nikizijibu kat

The Sixth annual Swahili Fashion Week will take place at Golden Tulip hotel

SIXTH SWAHILI FASHION WEEK LAUNCH PARTY A SUCCESS FASHION AWARDS NOMINEES IN 18 CATEGORIES ANNOUNCED 40 DESIGNERS TO LAUNCH THEIR NEW COLLECTIONS IN DAR PUBLIC ENCOURAGED TO SUPPORT MADE IN TANZANIA INITIATIVES   The Sixth annual Swahili Fashion Week will take place at Golden Tulip hotel from the, 5th to 8th December 2013 in Dar Es Salaam, Tanzania. Swahili Fashion Week 2013 will collectively bring together 40 designers from within Tanzania and beyond to showcase their collection, predicting trend for the East African market for year 2014. “Swahili Fashion week this year is aimed at reaching out to the public to emphasize and promote talents in the fashion industry. It’s more about valuing our own designers and building brands and taking them to a different level year in year out.” Stated Washington Benbella, Swahili Fashion Week Manager The Swahili Fashion Week launch party was held on 16 November at Golden Tulip attended by stakeholders i

DOWNLOAD NA KUSIKILIZA BRAND NEW SONG KUTOKA KWA RAMA_WISE_ft_NYANGETA_I DONT CARE(SIJALI)

Watch Touch ya Wakazi Official Video HD

ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA

Matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka huu 2013  yamewekwa kwenye mtandao,ikiwa ni katika hali ya kuboresha. Matokeo yametangazwa leo mwaka huu ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 30.72 mwaka jana mbaka asilimia 50.61 mwaka huu kutokana na wanafunzi walio fanya mtihani mwaka huu wa darasa la saba wamefaulu zaidi ukilinganisha na wanafunzi wa mwaka jana Kaimu mtendaji wa Baraza la Mtihani Charles Msonda amesema ufauru katika masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya 6.01 na 28.06 ukilinganisha na mwaka 2012 Mwaka huu watainiwa wamefahulu zaidi katika somo la Kiswahilin kwa asilimia 69.06 na somo walilio faulu kwa kiwango kidogo zaidi ni somo la Hisabati wamefaulu kwa asilimia 28.62 Msonda amesema jumla ya watahiniwa 427,606 kati ya 844,938 walio fanya mtihani huo wamepata alama ya 100 kati ya alama ya 250 idadi hiyo nisawa na asilimia 50.61 Tizama matokeo kwa kubofya hapa NECTA

BAJAJI YA MIZIGO YAPATA AJALI KWENYE TRAFIC LIGHT JIJINI MWANZA

Image
Kutoka katika blog ya gsengo Ni bajaji ya mizigo ambayoilikuwa na mizigo ya mafuta ya kula, chumvi, sabuni pamoja na unga imekula mzinga ikiovateki roli na kukuta roli upande wa pili limepaki na dreva wa bajaji alipojaribu kurejea kwenye upande wake wakushoto ndipo brekizikamzidia akajibamiza nyuma ya roli alilokuwa akiliovateki. Wananchi waliofurika eneo la tukio Bahari ya mafuta ya kula. ... Dereva wa bajaji hii alikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando kupatiwa matibabu mara baaada ya kupata majeraha makubwa ya kutisha huku akimuacha mwenye mali ambaye alikuwa amepakizwa nyuma na mizigo akiwa amelowa mafuta na akiwa hana hata jeraha moja . Taswira amili na wananchi mashuhuda. Hii ndiyo mizigo iliyosalimika wakati ile ya mafuta yooooote yakimwagika kupitia ajali hiyo. Ni hasara ingawa kunausalama kiasi. Askari wa jeshi la polisi Mwanza wakipima ajali hiyo.