Posts

TECHNOLOJIA: TUMIA SIMU YAKO KUPATA MATERIAL BUREEE

Katika pitapita yangu katika mitandao nikakutana na hiki kitu kutoka katika timeline ya  maurus.nchimbi juu ya kuweza kutumia simu yako ya mkononi ya kawaida kabisa kwa wale wanafunzi wa 0-level kuweza kupata notisi na quiz za masomo mbalimbali kupitia simu ya mkononi kwa njia ya ujumbe mfupi yaani (sms) kwa kufuata maelekezo aliyoyatoa hapa chini. Ni mwendo wa science na Technologia... "Jipatie notes na quiz za kidato cha kwanza hadi cha Nne kwa njia ya simu ya mkononi" Tuma sms " C*1" kwenda 0758722040. Utapata notes za civics form one. C inasimama badala ya Civics na 1 badala ya Civics. unaweza ukapata pia za form 2, 3 na 4 kwa kufuata mfumo huo. Masomo mengine ni kama "H" inawakilisha History, "Z" chemistry, "P" physics, "B" biology, "G" geography. Ili kupata Quiz andika na tumaa "QC*1" utapata maswali ya form one civics. Ukikosea mara kwa mara tutakupigia kukupa maelezo zaidi. NB: Hudum

Facebook yasema itainunua WhatsApp

Image
Facebook na WhatsApp ni maarufu sana miongoni mwa vijana. Kampuni ya mtandao wa Kijamii ya Facebook imesema kuwa itanunua mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa WhatsApp kwa kima cha dola bilioni kumi na sita, na nyongeza zaidi ya dola bilioni tatu zitakazolipwa waanzilishi wa mtandao huo pamoja na wafanyikazi wake. Hiyo ndiyo biashara kubwa zaidi ya ununuzi kuwahi kutekelezwa na Facebook hadi kufikia sasa. WhatsApp ni maarufu sana miongoni mwa vijana wanaotafuta kuepuka kulipia huduma ya kutuma ujumbe mfupi wa simu yaani SMS. WhatsApp imeweza kuwasajili zaidi ya watumiaji milioni mia nne hamsini. Katika taarifa, mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg amesema kuwa mtandao huo upo njiani kuwaunganisha watu bilioni moja jambo litafanya Facebook kuwa na thamani kubwa.

VIDEO:Innocent Mkumba ft Belle 9-Mapenzi yako (Official music video HD)

KITUKO:Mapenzi ya Whatsapp:

kituko hiki ni kutoka jamiiforums na kimepostiwa na Mtamile MKAKA : Hello Babe.... (11:45pm) MDADA : (last seen at 11:46pm) MKAKA :Nijibu tafadhali ( 11:50pm) MDADA : (last seen at 11:52pm) MKAKA : Mbona unanifanyia hivi? Mbona hujibu? (00:00am) MDADA : (last seen at 00:01am) MKAKA : Ok usiku mwema baby, nilitaka kukwambia tu kuwa zile pesa nilizokwambia nilikuwa nadai nimepata. Nimeweka pembeni laki tano kwa ajili ya shopping yako ya Krismas, naona hujibu kwa hiyo bye baby…… (00:01 am) MDADA : (typing): Ohh! Hi dear... Actually nilikuwa na mom nikawa nashindwa kukujibu ... wow darling najua roho yako sasa imetulia umelipwa deni lako.. I love you a lot... Unataka twende shopping saa ngapi? (00:05am) MKAKA : (last seen 00:06am) MDADA : Baby nijibu basi, nijibu nijue muda gani nijitayarishe, nijibu betry yangu inaisha chaji baby, nijibu sasa hivi (00:08am) MKAKA : (last seen 00:09am) MDADA : Naweka simu kwenye chaji dakika mbili baby (00:10am) MKAKA :

NANI ANAFUGA HAWA NDEGE?? MALISA GODLISTEN ANAYO MAJIBU.

kutoka katika ukurasa wa facebook wa Malisa Godlisten nikakutana na hii, mdau fatilia kilichotabainishwa humu ndani na ndugu Malisa.  Huu umoja wa wabunge wanaopinga ujangili ni mradi wa nani?? Umeundwa lini? Umeanza kufanya kazi lini? Umoja huu sio rasmi means hautambuliki bungeni hivyo haupati fedha yoyote kutoka bungeni za kuendesha shughuli zake. Sasa wanapata wapi fund ya kuoperate na kufanya Press conference?? Halafu wanapotoa misimamo, wanatoa misimamo kama nani? Maana kisheria mambo yote yanayohusu m ... aliasili na utalii yanasemewa na kamati ya maliasili na utalii inayoongozwa na Mh.James Lembeli. Sasa hawa wanapotoa misimamo, vp misimamo yao ikacontradict misimamo ya kamati ya maliasili na utalii ambayo ndio inayotambulika kisheria? Halafu "kiumoja hiki" kilikuwa wapi siku zote,.mbona wasitoe matamko hadi Uingereza iliposhutumu kuwa vitendo vya UJANGILI NCHINI VINAFADHILIWA NA VIONGOZI WA SERIKALI.?? Umoja huu unaoongozwa na Rizik Said, huku w

VIDEO:Angalia Video mpya ya Emmanuel Msuya, "Leo ni leo"

WAFANYABIASHARA MKOA WA MWANZA WAGOMA TENA KUPINGA MASHINE ZA EFD

Image
Mgomo wa wafanyabiashara kugomea mashine za kielektroniki za EFD umezidi kushika kasi katika baadhi ya mikoa kama ilivyotokea jana katika baadhi ya mikoa kama Mara, Iringa na Dar Es Salaam, hali hii imeendelea leo katika jiji la Mwanza pia na Dodoma kama unavyoona katika hizi picha zilichukuliwa jijini mwanza na Blogger Gsengo pi picha ni kutoka blog ya gsengo

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Image
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI _______________________________________ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0        OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. 2.0         OFISI YA MAKAMU WA RAIS 2.1  Waziri wa Nchi (Muungano) - Hakuna mabadiliko 2.2    Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb)             Waziri wa Nchi (Mazingira). 2.3     Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb)              Naibu Waziri  3.0        OFISI YA WAZIRI MKUU Hakuna mabadiliko               4.0     WIZARA              4.1    WIZARA YA FEDHA 4.1.1         Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb)                         Waziri wa Fedha                   Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb)                               Naibu Waziri wa Fedha 4.1.2        Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)                          Naibu Waziri wa Fedha     

Hemedy PHD ft. Gelly wa Rhymes - The One

Download Stereo ft Ben Pol - Usione Hatari

DOWNLOAD RASIMU YA PILI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013

Ile rasimu ya pili ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshatolewa hii hapa soma kwa umakini uweze kuichambua na kuona wapi bado kuna matatizo. DOWNLOAD RASIMU HAPA

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA

Image
Chukua japo dakika 10 za kusoma kitabu cha mwanamalundi, mtu maarufu aliyewahi kutokea katika historia ya kabila la kisukuma, hizi ni picha nilizozitoa katika kitabu hicho chenye karatasi kama 7, ni mojawapo ya kitabu nilichotamani kukisoma kupata ukweli juu ya mtu huyu, kwa bahati nzuri nimekikuta kwa mama yangu mkubwa katika kabati lake la vitabu, hivyo nikaona sio mbaya nikiweza kushare na marafiki zangu ambao nao wanatamani kujua historia ya mtu huyu maarufu kuwahi kutokea hapa Tanzania.