Posts

DIAMOND LIVE IN HOUSTON MEMORIAL WEEKEND

BOOKING ONLINE CLICK HERE

Fuatilia tukio zima la tuzo za kili live kupitia hapa;

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014  JUMAMOSI HII MEI 3 Kuanzia Saa 1 Jioni Fuatilia tukiwakiungana o zima la tuzo za kili live ikianza na red carpet itakayoletwa kwako na Jokate Mwegelo akishirikiana na Millard Ayo na baadaye na mtangazaji wa East Africa TV Sam Misago na Salma Msangi katika Social Media Lounge kuwafanyia mahojiano mastaa na pia washindi wa tuzo. click hapa hii  KTMA2014 Pata nafasi ya kutweet live na washindi wa siku, mastaa na wasanii wengi kwa kupitia #KTMA2014 Kumbuka kushiriki na kujua kila kinachojiri katika mitandao za kijamii tazama Twitter @Kili_Lager na hashtag #KTMA2014 Share hii na marafiki

AUDIO: SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA C-FEZA "NALIKUTEMWA"

Hitmaker wa "Nishike mkono" C-feza kaja na ujio mpya wa "Nalikutemwa" wimbo ambao umefanyika nchini Zambia katika jiji la Lusaka kwa kumshirikisha  Selasie, msanii kutoka Zambia wimbo huu ukiwa umeandaliwa na mtayarishaji wa mziki kutoka Lusaka- Zambia anayejulikana kwa jina la R-RONNY. Wimbo huu imeimbwa kwa lugha mbili yaani kiswahili na kibemba lugha inayozungumzwa kutoka Zambia Sikiliza na kudownload hii ngoma kali.

Embassy of Tanzania in Russia to host Mustafa Hassanali’s “MUUNGANO COLLECTION”

Image
As Tanzania Celebrates its 50 Years of   union between Tanganyika and Zanzibar on 26 th April 2014, Mustafa Hassanali’s , Tanzania’s pan African designer has been invited by the Embassy of Tanzania in Moscow as a designer to showcase his creation  during Tanzania Day, an event to celebrate this Milestone moment. “I am very honoured by this invitation from our Embassy in Russia and I look forward to being an ambassador of art, culture and fashion for Tanzania whilst using this opportunity to strengthen the culture ties between Tanzania and Russia as we celebrate 50 years of the Union” stated Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali has showcased his work in 26 cities in 17 countries globally and Now Moscow becomes his 27 th city and Russia 18 th Country.   As we celebrate the Union of Tanzania mainland and Zanzibar. The collection is aptly named MUUNGANO, Swahili word for union. “We shall not only Celebrate 50 years of Union of mainland and Zanzibar, but also t

UJIO MPYA WA PROFESSOR JAY, NI SHIDA MJINI

Image

MPIGIE KURA DIAMOND PLATNUMZ KATIKA TUZO ZA KORA

Image
Diamond Platnumz safari hii ameingia katika category mbalimbali za kuwania tuzo za KORA, hivyo kama shabiki wake na mpenda mziki kwa ujumla tumia dakika zako chache tu katika ukurasa wa facebook wa KORA awards katika kumpigia kura yako,angalia post tu aliyotokea picha yake kwa kucomment jina lake kwa chini. Diamond ameandika katika ukurasa wake wa facebook hivi "Tafadhari ukiwa kama shabiki au mpenzi wa muziki wangu naomba unipigie kura katika Tuzo hizi za KORA ili niweze kuibuka na ushindi.... ingia katika Facebook page yao kisha Katika kila post niliyoshiriki Comment kwa kuandika jina langu Diamond Platnumz"   click hapa kora awards

AUDIO: Alikiba -Rosa Maujanja

AUDIO: Daz Baba ft Juma Nature – Jela

Hii hapa orodha ya Wasanii waliochaguliwa kuingia kwenye tuzo za Kili Music Awards 2014

Image
Wimbo bora wa mwaka 1 Number one-Diamond 2 Joto hasira-Lady Jaydee Ft Prof Jay 3 I love u-Cassim Mganga 4 Yahaya-Lady JayDee 5 Kidela -Abdu Kiba Feat Ali Kiba 6 Muziki gani-Ney ft Diamond Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Kitanzania 1 Kwejaga nyangisha-Batarokota 2 Nalonji-Kumpeneka 3 Bora Mchawi-Dar Bongo massive 4 Tumbo lamsokota-Ashimba 5 Aliponji -Wanakijiji 6 Agwemwana-Cocodo African music band Wimbo bora wa kiswahili -Bendi 1 Ushamba mzigo-Mashujaa Band 2 Shamba la Bibi -Victoria Sound 3 Chuki ya nini -FM Academia 4 Yarabi nafsi -Mapacha Watatu 5 Kiapo mara 3 -Talent Band Wimbo bora wa Reggae 1 Niwe na wewe-Dabo 2 Hakuna Matata-Lonka 3 Tell Me-Dj Aron ft Fidempha 4 Bado nahitaji-Chikaka ft Bless p & Lazzy B 5 Bongo Reggae-Warriors from the east Wimbo bora wa Afrika Mashashariki 1 Tubonge-Jose Chamelleone 2 Nakupenda Pia-Waire Ft Allain 3 Badilisha-Jose Chamelleone 4 Kipepeo-Jaguar 5 Kiboko Ch

WANANCHI KUAGA MWILI WA MKUU WA MKOA WA MARA KESHO

Image
  kutoka kwa mwandishi shomari Binda Katibu Tawala wa mkoa wa Mara Benedict Ole Kuyan ametoa ratiba ya awali ya shughuli nzima ya kuuga mwili wa marehemu John Tupa na kuwashukuru Waandishi wa Habari kutokana na kutumia nafasi yao kuwajulisha watanzania juu ya taarifa ya kifo cha mkuu wa mkoa wa Mara. Amesema shughuli ya kutoa salamu za rambirambi pamoja na kuuaga mwili wa marehemu itaanza saa 1:00 hadi saa 3:20 katika makazi ya mkuu wa mkoa na baadae kupelekwa Kanisa Kuu Parokia ya Musoma Mjini saa 3:20 hadi saa 5:00 kwa ajili ya ibada na kisha kuondoka kuelekea uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili sa safari ya kuelekea Kilosa mkoni Morogoro kwa shughuli ya mazishi kwa kupitia mkoani Dodoma.

VIDEO: CHUNABUZI-Shilole (EXPLICIT)

DOWNLOAD NA KUSIKILIZA UJIO MPYA WA ROMA KUPITIA WIMBO WA K.K.K