Posts

P.DIDDY ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU (PhD)

Image
Kupitia mtandao wa instagram na twitter, mfanyabiashara na msanii wa kwanza wa hip hop  mwenye mkwanja mrefu wa dola million $700 n chini Marekani kupitia orodha iliyotolewa na  gazeti la Forbes, Sean Combs kwa sasa muite Dr.Combs aka P.diddy mwazilishi wa Bad Boy Records ametupia picha mbalimbali zikionyesha kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD),kutoka katika chuo kikuu cha Howard University kilichopo Washington D.C- Marekani. Diddy alishawahi kusoma katika chuo hiki kwa muda wa miaka miwili na baadaya kuamua kuacha chuo 1990 na kwenda kujiendeleza na maswala ya kimziki ambapo ndipo umaarufu wake ulipofahamika zaidi mpaka leo hii dunia kuweza kumfahamu. P.didy mwenye miaka 44 kwa sasa alitoa speech kwa niaba ya wanafunzi wenzake iliyokuwa na mvuto kwa kuwahasa wanafunzi waliokuwa wamehudhuria mahafari pamoja na watu wengine waliohudhuria kwamba wao ni "viumbe wa maajabu ambao ndio wanaitengeza kesho wanayoitaka". lakini pia alisisitiza kwamba: 'Howard University didn

VICHWA VYA MAGAZETI LEO JUMAPILI,PITIA HAPA

Image

AUDIO:SIKILIZA DEMO YA WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ (KITORONDO)

Image
Baada ya kuondoka na mzigo wa tuzo saba, na kuwa msanii wa kwanza kuweka record hiyo tangu tuzo hizo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards kuanzishwa mkali wa WCB ameamua kuja kivingine kabisa kuanzia beat hadi katika uwimbaji wake uliozoeleka, wimbo huu utatoka rasmi jumatatu ya tarehe 12/05/2014 katika vyombo vya habari. For more updates stick around hapa hapa.

WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA POLISI MOSHI WASIMAMISHWA MAFUNZO KWA KUGUSHI VYETI VYA KITAALUMA

Image
Habari hii ni kutoka kwa Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.     CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.. Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya Polisi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kamishna Andengenye alisema Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), lilifanya uhakiki wa Vyeti vya wanafunzi wote 3,415 waliojiunga na mafunzo hayo Desemba mwaka jana ambapo waligundua kuwa wanafunzi 212 kati yao hawakuwa na sifa kutokana na sababu za kughushi vyeti. "Katika kuhakikisha kwamba tunaendelea kuwa na askari wenye ueledi na uaminifu kwa raia na taifa kwa ujumla, tuliendelea na zoezi la kuhakiki vyeti kwa kushirikiana na

Kanda ya ngono yamtia mashakani mwalimu mkuu

Image
Shule iliyokumbwa na kashfa Mwalimu mkuu wa shule moja ya upili nchini Uingereza ameachishwa kazi kufuatia utata kuhusu kanda ya ngono inayodaiwa kurekodiwa shuleni humo. Mwenyekiti wa bodi ya shule alimwachisha kazi mwa muda mwalimu mkuu Graham Daniels na mfanyakazi mwingine wa shule ambaye jina lake halikutajwa baada ya malalamiko kutolewa kuwahusu wawili hao. Kuachishwa kazi kwa mwalimu huyo kulitokea baada ya wanafunzi kusambaza kanda hiyo kwa mitandao ya kijamii. Kanda hiyo ilikuwa na sauti za watu wawili wakijihusisha na ngono katika chumba kimoja cha shule hiyo. Hata hivyo wakuu wa bodi walisema kuwa shughuli za masomo zinaendelea kama kawaida. Mkuu wa bodi alisema: "shule imepokea malalamiko ambayo hayakumtaja mtu yeyote lakini kufuatia madai hayo uchunguzi utafanywa.'' Mwa

AUDIO: SIKIA KIONJO CHA WIMBO WA VICTORIA KIMANI ALIOMSHIRIKISHA OMMY DIMPOZ NA DIAMOND PLATNUMZ

Image
Mara kadhaa kwenye picha mbalimbali kupitia Instagram wamekua wakionekana Ommy Dimpoz,Diamond na Victoria Kimani wakiwa pamoja hali ambayo baadae ilizua taflani kwa Wema na Diamond na hii ilikua ni baada ya kusambaa kwa video ikimuonyesha Diamond na Victoria kimani wakiwa pamoja. Baadae ilikuja kufahamika kuwa walikua studio wakirekodi wimbo,inawezekana ni wimbo huu au ni miongoni mwa nyimbo walizofanya pamoja lakini hapa kipo kionjo cha wimbo huu wa Victoria Kimani rasmi wimbo huu unategemewa kutoka Mei 14 2014. Millard Ayo

JE WAJUA ALICHOKISEMA PREZZO KATIKA KIPINDI CHA FNL KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ

Image
Msanii kutoka country code 254 (Kenya) Jackson Makini aka Prezzo usiku huu amedhihirisha kumaliza tofauti zake na Diamond Platinumz kupitia kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na kituo cha television  Eatv, baada ya mtazamaji kumuuliza swali Prezzo kama anamchukuliaje Diamond Platinumz, Prezzo bila kuficha hisia zake kakubali kuwa Diamond ni msanii mkali na anafanya kazi kwa bidii sana hivyo anampa big up sana kwa kuwakilisha vizuri katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Beef la Prezzo na Diamond Platnumz lilianza kupaishwa zaidi na mitandao ya kijamii kupitia account ya twitter ya Prezzo mwaka jana mwezi wa saba. Hii ni mojawapo ya tweet za mwanzo wakati beef inaanza.

VIDEO: ANGALIA VIDEO YA P Square - Taste the Money (Testimony)

P.Square ni miongoni mwa wasanii wachache kutoka Afrika ambao wamekua na bahati kubwa ya baadhi ya nyimbo zao zinapotoka kuhit kwa haraka,Taste the Money audio ilitoka February 11 na kuwa ni mojawapo ya hit iliyoshika kwa haraka,hii hapa video yao icheki imeongozwa na Jude Engees Okoye .  

HUYU NDIE MENEJA MPYA ANAYETARAJIWA KUKINOA KIKOSI CHA MANCHESTER UNITED

Image
  Louis van Gaal, mwenye miaka 62 anatarajiwa kutangazwa kuwa meneja mpya wa timu ya Manchester United katika msimu ujao, habari hii imerepotiwa na mtandao wa theguardian  kocha huyu kwa sasa yuko katika maandalizi ya kombe la dunia akikinoa kikosi cha Uholanzi.   Mtandao huo wa theguardian umeendelea kwa kusema kuwa  " Manchester United have delayed naming Louis van Gaal as their manager but are expected to do so next week. The club want to wait until the season ends on Sunday before making an official announcement about David Moyes' successor"   Kocha Louis van Gaal amekuwa na historia nzuri ya kufundisha timu kubwa kama Ajax, Barcelona, AZ na Bayern Munich    

HII NDO NDINGA MPYA YA NAY WA MITEGO

Image
Mkali wa tuzo ya KTMA 2014 kupitia kipengele cha best collaboration kupitia nyimbo ya "Muziki gani" Nay wamitego aka the trueboy ametweet na kuonyesha picha ya gari lake jipya, tizama hapa.

DIAMOND LIVE IN HOUSTON MEMORIAL WEEKEND

BOOKING ONLINE CLICK HERE

Fuatilia tukio zima la tuzo za kili live kupitia hapa;

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014  JUMAMOSI HII MEI 3 Kuanzia Saa 1 Jioni Fuatilia tukiwakiungana o zima la tuzo za kili live ikianza na red carpet itakayoletwa kwako na Jokate Mwegelo akishirikiana na Millard Ayo na baadaye na mtangazaji wa East Africa TV Sam Misago na Salma Msangi katika Social Media Lounge kuwafanyia mahojiano mastaa na pia washindi wa tuzo. click hapa hii  KTMA2014 Pata nafasi ya kutweet live na washindi wa siku, mastaa na wasanii wengi kwa kupitia #KTMA2014 Kumbuka kushiriki na kujua kila kinachojiri katika mitandao za kijamii tazama Twitter @Kili_Lager na hashtag #KTMA2014 Share hii na marafiki