Posts

SHEREHE ZA MIAKA 10 YA BANG MAGAZINE ZAFANA NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONE

Image
      Keki nzuriii ya Miaka 10 ya Bang Magazine Warembo wakipata Picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10 Ya Bang Magazine Ukodak wa Nguvu kwa warembo Hawa Kwenye Red Carpet Ya miaka 10 ya Bang Magazine Wageni wakiendelea kufurahia kupata picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10 Ya Bang Magazine Mwanadada akifurahia kupata picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10  ya Bang magazine Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata Picha kwenye Red Carpet Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata picha na mama Wa Msanii Toka Marekani Yvonne Sangudi Kwenye Red Carpet Wageni Wakiendelea kupata Picha Kwenye Red Carpet Ya miaka 10 ya Bang Magazine Warembo wakipata Picha ya pamoja kwenye red carpet Designer Faustine Simon akiwa na mrembo wakipata picha kwenye Red Carpet Meneja Wa Skylight Band Aneth Kushaba akipata picha kwenye Red Carpet ya Bang Magazine Miss Tanzania 2013/14 Happiness Watimanywa akipata Picha ya Red Carpet Miaka 10 Ya Bang Mag

RICK ROSE ASHINDWA KUPERFORM KWA KUHOFIA MAISHA YAKE KUWA HATARINI

Image
Rick Ross aka Big Boss anayeliongoza kundi la  Maybach Music Group, weekend iliyopita ameshindwa kuperform katika stage ya Chene Park katika jiji la Detroit lililopo jimbo la Michigan nchini Marekani,mara baada ya kusimamishwa nje ya ukumbi na kundi la  watu  100 kabla ya kuingia ndani wakati akisubiliwa zamu yake ya kuishabulia stage, hivyo mkurungezi wa  vipindi Jay Hicks wa kituo kikubwa cha radio cha  HOT 107.5′s kilichopo Detroit ilimbidi kutoa tamko kwa watu waliohudhuria  katika show hiyo kwamba  Rick Rose hataweza kuishambulia stage kwa kuwa anahofia usalama wa maisha yake kuwa hatarini. Mkurugenzi wa vipindi Jay Hicks alisikika akisema “We had Rick Ross right outside here tonight. At about 11 o’clock, when he was pulling up to come into , he was met by 100 individuals outside,” 107.5′s program director told the crowd. “We have tried to pull every resource together and asked him to come back. He is in fear of his life.” Habari za chini

TECHNOLOGY: JIFUNZE NJIA BORA YA KUWASILIANA KWA SAUTI KUPITIA FACEBOOK MESSENGER

Image
Technolojia inazidi kubadilisha maisha kila siku na kufanya gharama za mawasiliamo kuwa rahisi zaidi, kwa wale watumiaji wa simu zenye mfumo wa uendeshaji (operating system) katika simu zao kama iOS au Android sio wageni kusikia neno kama Viber, WhatsApp, Tango, Telegram, Skype,Hangouts,Kik,BBM na nyingine nyingi. Hizi Apps zote dhumuni lake ni katika kuwasiliana kwa njia ya maneno, picha, na video na baadhi ya Apps nyingine kuwekea kitu cha ziada ambacho kinazitofautisha na Apps zingine kama  uwezo wa kutuma document kama BBM au kupiga simu kupitia App hiyo mfano Viber, Skype, Facebook Messanger.  Application zote hizi za simu zinapatikana katika soko linalojulikana kama Android Marketplace maarufu kama Play store au kwa jina linkine "Google play"  na iOS App store maalumu kwa simu kama iphone. Leo ningependa kuzungumzia zaidi application inayoitwa "Facebook Messenger' iliyozinduliwa kwa majaribio  August 9, 2011 kwa matumizi ya  iOS na Android ikaanza

TAZAMA VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI YA LEO JUMATATU HAPA........

Image

AUDIO :SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA DE' RINGTONES

Image
Sikiliza nyimbo mpya ya  kundi jipya  wanaojulikana kama  DE' RINGTONES kutoka jijini Mwanza kundi linaloundwa na wasanii wawili ambao ni Irene Jo na Holy Josh, kazi hii imefanyika jijini Mwanza katika studio ya Chopah records na kusimamiwa na producers wawili Joshbatabata na Chopah Francis Mbwana. Wimbo unaitwa "I love Music" ndo wimbo wa kwanza kutolea so stay tuned more new tracks are on the way....., enjoy and show support kwa kudownload na kusambaza taarifa kote, unaweza wasiliana na producer Josh kupitia facebook kwa jina la Josh Batabata   pia producer chopah francis kwa maelezo zaidi Download na kusikiliza