Posts

DIAMOND NA LADY JAY DEE WASHINDA TUZO ZA AFRIMMA 2014

Image
  Tuzo za African Muzik Magazine Awards(AFRIMMA) mwaka huU zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali wa kutoka Afrika pamoja na Marekani zikiwa hosted na mchekeshaji Basketmouth wa Nigeria.   Good news kwa mujibu wa meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale ni kwamba Diamond ameshinda tuzo mbili moja ya Msanii bora wa Afrika Mashariki na nyingine ni wimbo bora wa kushirikiana ambao ni ‘number one rmx’ alioufanya na Davido wa Nigeria. Huku mwanadada Lady Jay Dee akichukua kwa upande wa msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki.  WASHINDI WENGINE WA AFRIMMA AWARDS 2014 Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana) Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya) Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria) Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania) Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria) Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania) Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria) Best Male Central A

HAPPY BIRTHDAY TO ME.

Image

MANISPAA YA KINONDONI YAWAFUKUZA WATUMISHI TISA NA WENGINE WAWILI WAPEWA ONYO KALI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baraza la Madiwani la Manispaa yaa Kinondoni katika Kikao chake cha tarehe 22/07/2014 siku ya Jumanne, chini ya Mstahiki Meya Mh.Yusuph Mwenda pamoja na mambo mengine lilijadili na kutolea maamuzi ya mashauri ya mashtaka ya nidhamu yaliyofunguliwa kwa Watumishi 11 wa Idara mbalimbali za Manispaa waliofanya makosa mbalimbali kama Utoro kazini, Matumizi mabaya ya madaraka na ofisi. Kati ya Watumishi 11 waliofunguliwa Mashtaka, watumishi 6 ni wa Idara ya Afya, 2 ni wa Idara ya Elimu ya Sekondari (Walimu wa Leseni) na 3 ni wa Idara ya Utawala na Utumishi kada ya Maafisa   watendaji wa Mitaa ambao ni 2 na polisi msaidizi 1 . Aidha Baraza limefikia uamuzi wa kuwafukuza kazi watumishi 9 na kuwapa karipio watumishi 2. Kati ya watumishi 9 waliofukuzwa kazi, watumishi 4 ni wa Idara ya Afya, 3 Idara ya Utawala na Utumishi ambao ni Maafisa watendaji wa Mitaa 2 na Polisi Msaidizi 1, na 2 kutoka idara ya Elimu ya Sekondari ambao ni walimu wa Le

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI YAPO HAPA

Image
     

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA 25 JULAI, 2014

Image
Raisi Kikwete akiwa na Mkuu wa majeshi katika maadhimisho ya siku ya mshujaa ambayo kitaifa yamefanyika jijini Dar Es Salaam kwenye viwanja vya mnazi mmoja.   Kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania   Gwaride likiendelea kwenye viwanja hivyo Raisi Kikwete akiingia kwenye viwanja vya mnazi mmoja akiwa na mkuu wa majeshi (P.T)

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 ' NDONDI ZA MWAKA'

Image

MABAKI YA NDEGE YA ALGERIA YAONEKANA

Image
Mabaki ya ndege iliyopotea ikiwa na watu 116 njiani kutoka Burkanafaso kwenda Algers yamepatikana nchini Mali. Maafisa wa Jeshi wa Burkina faso wamesema ndege hiyo iliyokuwa chini ya shirika la ndege la Algeria imeanguka karibia kilomita 50 kutoka mpaka wa Burkanafaso. Waongoza ndege walipoteza mawasilino na ndege hiyo muda mfupi baada ya kupata taarifa kutoka kwa Rubani kuwa alikuwa kwenye eneo lenye hali mbaya ya hewa. Utafutaji wa ndege hiyo umeanzia katika eneo la Gao mpaka Tessalit. Kumekuwepo na hali mbaya ya hewa kwa zaidi ya saa 24. Waziri wa mambo ya nje wa ufaransa, Laurent Fabius amesema inaonekana ndege ilihamishwa mwelekeo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. "Walikuwa wameelekezwa kubadili njia ya kawaida kutoka na mabadiliko ya hali ya hewa.Ndege ilikuwa ikipaa juu ya eneo la Malian. Pamoja na juhudi kubwa , mapaka sasa hakuna dalili za kupatika na kwa ndege hiyo. Pengine ndege imeangua" Ameongeza kuwa waziri wa

Watishia kufunga viwanda vya bia na vya pombe kali

Image
Watengenezaji wa bia na vinywaji vikali, wametishia kufunga baadhi ya viwanda iwapo Serikali haitaipunguza ongezeko la kodi la asilimia 20 iliyolipishwa kinyume na tozo ya asilimia 10 iliyopitishwa na Bunge. Uamuzi huo umekuja baada ya wenye viwanda vya vinywaji hivyo kubaini kuwa Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2014/15 uliotolewa Julai 11, mwaka huu, unataja kuwa kodi kwa bidhaa hizo itakuwa asilimia 20. Akizungumza jana, mwakilishi wa wenye viwanda nchini, David Mgwassa alisema uamuzi wa kupandisha kodi kinyemela umewaacha njiapanda wenye viwanda kwa kuwa hawajui walipe kodi ipi kati ya asilimia 10 au 20 na kwamba, iwapo Serikali haitapunguza, watafunga baadhi ya viwanda ili kumudu ongezeko hilo jipya la kodi. “Kila kampuni inafanya utafiti ili kufunga viwanda vyote na kubaki na kimoja kikubwa kitakachopunguza gharama. Pia ikumbukwe kuwa

DOWNLOAD NA KUSIKILIZA SINGLE MBILI ALIZOZIACHIA ALI KIBA LEO.

Image
Baada ya wapenzi wa muziki Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja ziitwazo “Mwana” na “Kimasomaso”. Mwana imetengenezwa na Manwalter kutoka studio ya combination sound na Kimasomaso imekuwa sampled kutoka kwa Marehemu Issa Matona ikiwa imetayarishwa na producer Marco Chali kutoka MJ records. Alikiba anajulikana ndani na nje ya Tanzania kwa hit zake kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele. Cinderela ndiyo wimbo ambao mpaka sasa umeweka rekodi ya kuuza copy nyingi katika Afrika Mashariki mwaka 2008.    Mwaka 2012 Alikiba alishinda tuzo ya best Rhumba/ Zouk na wimbo wake wa “Dushelele” katika tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Alikiba anajulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kuimba na utunzi wa nyimbo pamoja na kuwa mburudishaji mkali sana katika show zake za live na mpaka sasa ametembea nchi n

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULY 25

Image