Posts

HABARI ZOTE KUU ZA MAGAZETI YA LEO JUMANNE ZIPO HAPA

Image

NEW AUDIO:DOWNLOAD NA KUSIKILIZA LIFE GOES ON YA FANKY JUNIOR FT NICOLAZO

Brand new Audio kutoka kwa Fanky Junior akishirikiana  na Nicolazo imetoka rasmi, nyimbo hii inajulikana kwa jina la "Life goes on" imetengenezwa katika studio za Pisha Record chini ya producer Man XP

MABADILIKO YA MUDA WA KAZI KUTOKA NHIF

Image

UGANDA YAFUTA SHERIA DHIDI YA USHOGA.

Image
Wanaume wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja Uganda Nchi ya Uganda ambayo ilidiriki kusimama kidete kupinga mapenzi ya jinsia moja hatimaye wameifuta sheria dhidi ya ushoga, ni maswali mengi watu watajiuliza je ni kwa sababu ya vikwazo vya nchi za Magharibi ambavyo viliwekwa baada ya Uganda kupitisha mswada huo na kuwa sheria. Mwandishi wa BBC anaelezea hali ilivyokuwa mpaka kufuta sheria hiyo. Mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima msaada. Kadhalika sheria hiyo ilizua gumzo sana sio tu Uganda bali kote duniani ambapo mataifa ya Magharibi yalilazimika kuingilia kati.  Mahakama ilisema kuwa mswada huo kabla ya kuidhinishwa kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi yao haikutosha kupitisha mswada na kwa hivyo ni kinyume na sheria.

CHANGAMKIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA UTUMISHI AUGUST 1, 2014

Utumishi wa umma wametoa nafasi mpya za kazi za mwezi Agosti kwa watu 254 watakao jaza nafasi mbalimbali katika sekta, mamlaka na ofsi mbalimbali za serikali, changamkia nafasi hii mapema, mwisho wa kutuma maombi yote ni tarehe 19 Agosti, 2014 saa 9:30 mchana, bofya hapa chini kusoma AJIRA BOFYA HAPA

Fahamu Kuhusu Kambi ya Matibabu ya Bure, Agost 2

Image
 

MAGAZETI YA IJUMAA AUGUST 1 YAPO HAPA

Image

MTOTO WA RAIS KIZIMBANI KWA UFISADI

Image
Karim Wade Kesi ya ufisadi dhidi ya Karim Wade, mtoto wa rais wa zamani wa Senegal Abdoulaye Wade imeanza kusikilizwa huko Dakar Senegal. Hata hivyo kesi hiyo inaanza kusikilizwa mshitakiwa akiwa kizuizini katika gereza kuu la Dakar, Rebeuss kwa mwaka mmoja sasa. Waziri huyo wa zamani atatakiwa kuieleza mahakama vyanzo vya utajiri wake wa Uero milioni 178. Hata hivyo kiwango hicho cha fedha kinadaiwa kuwa kidogo ikilinganishwa kile kilichosababisha kukamatwa kwake ambacho ni Euro bilioni moja. Seydou Diagne, mmoja wa wanasheria wa Karim Wade, amelalamikia mashitaka hayo na kuyaita ya kisiasa akidai kuwa kitu pekee kinachowasukuma wanao mshitaki mteja wake. Wanasheria wake pia wamedai hata hiyo mahakama itakayotumika kuchunguza matumizi mabaya ya ofisi haina uwezo wa kuisimamia kesi hiyo. Hii ni moja ya kesi za kuwat

NJEMBA KIBAO ZAGOMBEA KUMUOA JOKATE

Image
Baada ya hivi karibuni mwanamitindo Jokate Mwegelo kutangaza kutafuta mchumba, idadi kubwa ya wanaume wamekuwa wakihaha kusaka mawasiliano naye huku kila mmoja akijinadi kivyake. Mwanamitindo Jokate Mwegelo. Mara baada ya habari ya Jokate ya kutafuta mchumba kutoka kwenye gazeti hili wiki iliyopita, namba ya simu ya chumba chetu cha habari imekuwa bize kupokea simu za wanaume mbalimbali wakiomba kuunganishwa na mrembo huyo. Hata hivyo, jitihada za kumuunganisha mmoja mmoja kwa mrembo huyo hazikufanyika ila kwa yoyote anayehisi ana vigezo na ana nia ya dhati ya kumuoa na si kumchezea afike katika ofisi zetu nasi tutamuelekeza njia sahihi ya kumpata. chanzo:global publisher.  

NEW AUDIO: SIKILIZA NA DOWNLOAD PROFESSOR JAY - 3 CHAFU

Image
Profesa Jay ameachia wimbo wake uliokuwa unasubiriwa na mashabiki wake. Ni wimbo wa Hip Hop ambao unamuwakilisha Jay Hustle ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira miaka ya 1990 kabla hajatoka. Ndani pia yumo Nigga J aliyekuwa mshindi wa tuzo ya hip hop akiwa na Hard Blasters Crew (HBC) na Profesa Jay ambaye ni The Heavy Weight MC wa sasa Mr. 'Kipi Sijasikia.' Wimbo umefanywa katika studio yake ya Mwana Lizombe chini ya Producer Villy.