Posts

MAGAZETI YA LEO JUMANNE, SEPTEMBER 2 YAPO HAPA

Image

MFANYABIASHARA AMCHARANGA MAPANGA ALBINO

Image
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro INAUMA sana! Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro likimshikilia mkazi wa wilayani Mvomero, Johnson Damian Mkude kwa msala wa kumchinja mdogo wake na kupeleka kichwa kwa mganga wa kienyeji ili awe bilionea, jeshi hilo linamshikilia mfanyabiashara mwingine maarufu mkoani hapa aitwaye Lyimo kwa tuhuma za kumcharanga mapanga Damas Valeniani (36) ambaye ni  mlemavu wa ngozi (albino). Mlemavu wa ngozi Damas Valeniani aliyecharangwa mapanga na mfanyabiashara maarufu mkoani Morogoro anayefahamika kwa jina moja la Lyimo. Jamaa huyo maarufu kwa jina la Mangi, anadaiwa kutenda unyama huo wiki iliyopita usiku wa manane kwenye Msitu wa Milima ya Uluguru, Mtaa wa Bingwa Kiwasi Juu, Kilakala, wakati mlemavu huyo, akiwa amelala. GPL  (P.T) Akizungumza na Ijumaa Wikienda, mlemavu huyo alisema: “Nilikuwa nimelala, ghafla nikasikia mtu akiingia akiwa ameshika panga na kuanza kunikatakata huku aki

NEW VIDEO: TIZAMA VIDEO MPYA YA NAMELESS "Butterfly"

AUDIO: SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA FAKY JUNIOR FT C-FEZA INAITWA "BADOOH"

Image
Wimbo unaitwa -BADOOH umetengenezwa studio za AJ MUSIC PRODUCTION, studio ipo mkoani Mtwara nyimbo ikishirikisha vichwa viwili kutoka kwa Faky Junior akiwa na C-FEZA.

VIDEO: Angalia video mpya ya Nay Wa Mitego - Mr Nay (Official Video)

MSUYA:SIFA 16 ZA RAIS 2015 NA HABARI ZINGINE ZA MAGAZETI YA JUMATATU, SEPTEMBER 1 YAPO HAPA

Image