Posts

MAGAZETI YA LEO JUMATATU DECEMBER 01 YAPO HAPA

Image

PICHA: BUSTA RHYMES AANGUKIA MASHABIKI AKIWA JUKWAANI, ATOKWA DAMU KWENYE PAJI LA USO

Image
Rapper Busta Rhymes ameanguka akiwa jukwani kwenye show ya muziki mjini New York. Busta alikuwa msanii aliyealikwa kwenye show hio iliyofanyika Webster Hall alikuwa ameinama kusalimia mashabiki na ghafla akapoteza balansi na kuangukia watu, alivyoinuka alikuwa na damu kichwani na usoni huku jeraha likionekana kuhitaji kushonwa. Baada ya dakika checha alirudi jukwanii na kuendelea na show.     b

WANNE WATOLEWA BIG BROTHER AFRICA HOTSHOTS, IDRIS APETA KURA ZAIDI ZINAHITAJIKA KURUDI NA USHINDI TANZANIA

Image
Goitse Goitse  mshiriki wa kutoka Botswana,  Ellah  mwakilishi kutoka Uganda,  Sheillah  mwakilishi wa Botswana na  Trezagah  kutoka Msumbiji ndio washiriki walioyaaga haya mashindano Novemba 30 2014. Idadi ya washiriki waliobakia ni nane tu akiwemo Idris kutoka Tanzania ambapo kwa mujibu wa ukurasa wa Big Brother matumaini yaliyopo kwamba ikiwa msimamo wa kura ukiendelea poa kama hali ilivyo huenda neema ikawa kwa mshiriki huyo wa Tanzania akarudi na ushindi. Ellah Idris Sheillah Trezagah                                                   

TANZANIA BILA UKIMWI MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU,VIFO VITOKANAVYO NA UKIMWI INAWEZEKANA.

Image
LEO NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KWA HAPA TANZANIA KITAIFA INAFANYIKA MkOANI NJOMBE IKIWA NA KAULI MBIU YA  "Tanzania Bila Maambukizi Mapya ya VVU, Vifo vitokanavyo na Ukimwi na Ubaguzi na Unyanyapaa inawezekana" kauli mbiu hii inayolenga kupunguza maambukizi Mapya ya Ukimwi, kupunguza vifo vitokanavyo na Ukimwi na kukomesha vitendo vya unyanyapaa kwa asilimia Sifuri.