Posts

PICHA: WATU WALIVYOSHEREHEKEA MAPOKEZI YA MWAKA MPYA SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI

Image
 London skyline and Big Ben just after midnight on January 1, 2015 in London, England. (Photo: Peter Macdiarmid/Getty) Fireworks explode over Victoria Harbor in Hong Kong on January 1, 2015. (Photo: Isaac Lawrence/AFP/Getty Images) People cheer as the ball drops at midnight in Times Square on January 1, 2015 in New York City. An estimated one million people from around the world are expected to pack Times Square to ring in 2015. (Photo: Andrew Theodorakis/Getty Images) An activist holds her hands up during a protest march against police brutality that traveled from Union Square to Times Square on December 31, 2014 in New York City. (Photo: Kevin Hagen/Getty Images) New York City Police Commissioner Bill Bratton walks through Times Square as crowds arrive for the city's annual New Year's Eve celebration on December 31, 2014 in New York City. (Photo by Kevin Hagen/Getty Images) New Year's Eve fireworks erupt over Sydney's iconic Harbour Bridge and Opera Hous

MWAKA MPYA: MAAFA CHINA 35 WAFARIKI

Image
Sherehe za kuupokea mwaka mpya 2015 zimeguka kuwa majonzi baada ya watu thelathini na watano kufa kwenye taharuki ya kukanyagana kwenye msongamano wakati wakiiupokea mwaka mpya. Maafa hayo yametokea katika mji Shanghai ambapo maelfu ya watu walikuwa wamekusanyika ili kuupokea mwaka mpya. Chanzo cha taharuki hiyo bado haijafamika lakini vyombo vya habari vya nchi hiyo vimenukuliwa vikisema imetokana na maelfu ya watu kuzuiwa kugombea fedha bandia zilizotupwa eneo hilo kutoka katika jengo moja. www.bbcswahili.com

MAGAZETI YA LEO MWAKA MPYA YAPO HAPA

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

SHEREHE YA "ESCROW" NOMA WATOTO WA KIGOGO WAFANYA BIRTHDAY YA MAMILION, WAALIKWA WAONDOKA NA FEDHA KWENYE RAMBO

Image
Stori: Hamida Hassan WAKATI dunia ikiingia Mwaka Mpya wa 2015, taarifa ikufikie kwamba kigogo mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar amewaangushia wanaye, Hassan na Khadija Dilunga sherehe ya kuzaliwa ambayo imepachikwa jina la ‘Escrow’ kufuatia kufuru ya fedha iliyooneshwa na wahusika hivyo kuwa ndiyo gumzo la mjini kwa wikiendi iliyopita. Bethidei ya   Hassan na Khadija Dilunga wakiwa na makapu ya fedha. MSHANGAO! Sherehe hiyo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Tower jijini Dar juzi ambapo waalikwa wengi walijikuta wakibaki midomo wazi kwa vile wakati wanafika nje walijua ni harusi ya mtoto wa mtu mzito serikalini lakini walipozama ndani walipigwa butwaa kukuta ni ‘bethidei’. “Du! Ni sherehe ya aina yake, watoto wameingia kama maharusi kwa kumwagiwa maua tena wana ‘meidsi’ na upambaji wa ukumbi unatisha,  naona umesheheni mapambo ya gharama kubwa,” alisikika akisema mwalikwa mmoja huku akiendelea kushangaa maandalizi hayo ya kukata na mundu kama si shoka!

AIBU YA FUNGA MWAKA HII HAPA

Image
Na Musa Mateja HII kweli ni aibu funga mwaka! Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora amenaswa na paparazi wetu akivunja amri ya sita ndani ya gari na dada mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, Amani linakupa mchapo kamili. Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora na binti huyo wakiwa kwenye mahaba mazito. Tukio hilo la kinyaa lilitokea hivi karibuni maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam, karibu kabisa na maegesho ya magari yanayotumiwa na ukumbi wa burudani wa New Maisha.Chanzo makini kilichomuona msanii huyo, kilimtonya paparazi wetu siku hiyo baada ya kubaini msanii huyo amekuwa na kamchezo hako kachafu kila anapokwenda klabu hapo. Baada ya kukurupushwa. “Huyu jamaa amekuwa na haka kamchezo ka kwenda kumalizia kwenye parking za magari sasa leo kaja na kabinti f’lani hivi, njooni mmnase,” kilisema chanzo hicho.Bila kupoteza muda, paparazi wetu alitumia usafiri wa bodaboda ndani ya dakika sifuri alifika eneo la tukio ambapo siku hiyo kwenye ukumbi wa New Maisha Club ku