Posts

PRES. OBAMA TO MAKE FIRST TRIP TO KENYA AS PRESIDENT

WASHINGTON (AP) -- President Barack Obama will make his first trip as president to Kenya, the country of his father's birth. The White House says Obama will visit Kenya in July for the Global Entrepreneurship Summit, which brings together business leaders, international organizations and governments. This will be the first time the summit takes place in sub-Saharan Africa. Obama visited Kenya as a U.S. senator, but never as president. During a trip to other African countries last year, he said he was likely to visit Kenya before leaving the White House. The president's father came to the United States from Kenya for school and returned to his home country after his son's birth. The elder Obama died more than 30 years ago, though the president has other family still living in Kenya. The Associated Press

TAARIFA YA KINYANG'ANYIRO CHA KUMPATA MSHINDI WA TUZO YA JAMII

Image
Taarifa ya kinyang'anyiro cha kumpata mshindi wa tuzo ya jamii TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUZO YA JAMII  ITAKAYOTOLEWA TAREHE 13 APRIL 2015 KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE, JIJINI DAR ES SALAAM     MGENI RASMI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete     WAGENI WAALIKWA :  Mara baada ya Hafla ya Tuzo ya Jamii ambapo Washindi wote watapewa Tuzo na Mgeni Rasmi, Kutakuwa na Dhifa ya Kitaifa ya Tuzo ya Jamii ambayo itahudhuriwa na wageni wafuatao:     Wapewa Tuzo, Familia za wapewa Tuzo, Viongozi Waandamizi wa Serikali, Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania, Viongozi wa vyama vya siasa na kijamii na Wafanyabiashara, Taasisi zisizo za kiserikali, Watu Mashuhuri na Wawakilishi kutoka makundi yenye mahitaji maalum ambapo kwa mwaka huu watawakilishwa na Watu wenye Ulemavu wa Ngozi-Albino     MUHIMU :   Tanzania Awards International Ltd imepanga kufanya hafla ya utoaji wa