HII HAPA ORODHA YA WASANII 10 MATAJIRI AFRIKA
Youssou Ndour ndiye mwanamuziki tajiri barani Afrika Usanii wa muziki ni miongoni mwa kazi zinazolipa vizuri duniani. Hatahivyo si kila mtu anayefanikiwa katika sekta ya muziki. Kulingana na mtandao wa capital Fm nchini Kenya,kwa wewe kufanikiwa ni sharti uipende sekta hii pamoja na uwajue wateja wako. Hivyo ndivyo wasanii wengi wa muziki wameweza kujitengezea jina duniani. Na je, unawajua wanamuziki tajiri barani Afrika?Orodha ya wanamuziki 10 walio matajiri barani afrika kulingana na Answers Afrika itakushangaza. Hii Hapa. 01.Youssou N'Dour - Senegal. 02.P-Square- Nigeria 03.D'banj - Nigerian 04.Koffi Olomide - DRC 05.Salif Keita - Mali 06.Fally Ipupa DRC 07.Face Idibia - Nigeria 08.Hugh Masekela - South Africa 09.Banky W - Nigeria 10.Jose Chameleon - Uganda Chanzo: BBC