Posts

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI, MEI 2

Image

ONLY WHITES LIVING WELL THERE: PEOPLE SHOULD NOT RUSH TO J'BURG HOPING TO HEAVEN- MUGABE

Image
SADC Chairman, President Robert Mugabe Heads of State and government of the Southern African Development Community (SADC), meeting in Harare, Zimbabwe yesterday condemned the recent attacks against African migrants in parts of Durban and Johannesburg in South Africa. The summit meeting was reacting to a briefing by South Africa President Jacob Zuma on the nature of the xenophobic attacks and measures taken by his government to restore peace. According to a communique issued after the meeting, "Summit commended the measures that the government of South Africa has put in place and resolved to work together to deal with the situation and ensure it does not recur." The attacks affected the citizens of SADC member countries of Zimbabwe, Mozambique, Malawi, Zambia and Tanzania, which were forced to evacuate their people. The violence heightened tension between South Africa and its neighbours, some of whom threatened retaliatory measures. But briefing the media after the

TAARIFA RASMI: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA UKAWA 30.04.2015

Image
Subi Nukta 5/01/2015 No Comment UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA), DAR ES SALAAM, TANZANIA. TAARIFA KWA UMMA, DAR ES SALAAM, ALHAMIS, 30 APRIL 2015 UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 LAZIMA, KIKWETE ASIONGEZEWE MUDA, KURA YA MAONI BAADAE Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) leo vimetoa msimamo wao juu ya njama za kuahirisha Uchaguzi Mkuu unaotakiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. UKAWA imesisitiza kwamba kuahirisha Uchaguzi Mkuu huo ni sawa na kumuongezea Rais Jakaya Kikwete na Chama chake cha Mapinduzi muda wa kuendelea kutawala Tanzania. UKAWA imesema jaribio lolote la kuahirisha Uchaguzi Mkuu kwa kisingizio chochote kile litakuwa kinyume na Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na litahesabika kuwa ni sawa na mapinduzi dhidi ya Katiba (constitutional coup d’etat). Msimamo wa UKAWA unafuatia kumalizika kwa Kikao cha Viongozi Wakuu wa Vyama vinavyounda UKAWA (UKAWA Summit) kilichofanyika katika Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), jijini D

TCU INVITES APPLICATIONSFOR RPL EXAM 2015/2016

Tanzania Commission for Universities Invitation for Prospective Applicants to Apply for the Recognition of Prior Learning (RPL) Examination as a prerequisite to join degree programmes into Higher Education Institutions for Academic Year 2015/2016. 1. Overview The Tanzania Commission for Universities (TCU) hereby informs prospective applicants who qualify to sit for the RPL examination to apply through the Central Admission System (CAS) starting from 2ndApril 2015 to 30th June 2015. 2. Eligibility Candidates who are eligible to apply and sit for RPL examination must meet the following criteria: a) Must have at least 25 years of age; b) Must have completed at least standard seven education and attended some extramural or professional development courses in the field intended to apply for; c) Must have aworkingexperience in the fieldthe applicant intends to apply; d) Must have the intention to pursue university education at degree level. e) Must be competent in written and spoken

RAIS KIKWETE ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, jana Alhamisi, Aprili 30, 2015 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema. Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji  Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea walipoteuliwa Novemba 28, 2006. Kabla ya uteuzi wake, Jaji Mwarija alikuwa Jaji Mfawadhi, Kitengo cha Biashara, Mahakama Kuu, Dar Es Salaam. Kabla ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kati ya mwaka 2003 na 2006. Aliajiriwa kama Hakimu Mkazi Daraja la Tatu Februari 2, mwaka 1987, baada ya kupata Shahada ya Sheria mwaka 1986. Naye Jaji Mugasha, kabla ya uteuzi wake, alikuwa Jaji Mfawidhi, Dar es Salaam. Alikuwa Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha na awal

SOMA MAGAZETI YA LEO MEI MOSI

Image