Posts

PICHA ZINGINE ZA WATANZANIA CALIFORNIA WALIPOMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA

Image
 Meza kuu  Picha ya pamoja na Balozi  Watanzania wakipata picha ya ukumbusho na Balozi Kwa picha zaidi bofya soma zaidi   JAFE MALIBENEKE  

MAGAZETI YA LEO JUMATATU, AUGUST 3 YAPO HAPA

Image

Kura za Maoni CCM: Mawaziri Watano Waanguka.......Yumo Chikawe,Sillima,Mahanga na Makalla.......Aden Rage Pia Kaanguka!!

Image
Matokeo ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia chama tawala, yameanza kuanikwa, huku yakionesha kuwa baadhi ya mawaziri, wabunge na watendaji katika chama na serikali wameangushwa. Kwa mujibu wa matokeo ambayo mtandao huu umeyapata, kwa upande wa mawaziri walioshindwa ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,  Mathias Chikawe .     Hayo yamethibitishwa na Katibu wa CCM mkoa wa Lindi, Adelina Gefi aliyesema kura za Chikawe katika jimbo lake la Nachingwea alikokuwa anatetea kiti chake, hazikutosha mbele ya Hassan Masalla, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero aliyepata kura 6,444. Chikawe amepata kura 5,128.    Wakati Chikawe, mmoja wa wanasiasa mahiri na mwanasheria aliyepata kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora na pia Waziri wa Katiba na Sheria akikwama katika mchakato wa kurejea bungeni, naibu wake katika Wizara wa Mambo ya Ndani,  Pereira Silima naye ameanguka katika kura za maoni huko jimbo la Bumbwini, Unguja. Mwanasiasa mwingine aliyekw

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

Image

Kinachompa jeuri Mourinho dhidi ya Wenger kipo hapa

Image
Kocha wa  Chelsea  Jose Mourinho  ameingia tena kwenye headlines kwa kauli zake anazozitoa kuelekea mchezo wa Ngao ya Hisani,  Chelsea  itakutana na  Arsenal  leo August 2 saa 11 jioni kwenye uwanja wa  Wembley  wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 90,000. Mourinho  ambae anajulikana kwa kuwa na uwezo wa kucheza na akili ya kocha wa timu pinzani amerudi na kauli nyingine dhidi ya  Wenger . “Sifikirii kuhusu nini kilitokea nyuma, nafikiria kuhusu mechi mimi kushinda mechi sita, saba, nane au tisa bila kupoteza mechi hata moja haiweki utofauti wowote na sifikiri kama itasaidia chochote kwenye huu mchezo, mechi inayofuata kwangu haina mahusiano yoyote na mechi iliyopita “>>> Mourinho Kocha wa  Arsenal   Arsene Wenger  hajawahi kuifunga klabu ya  Chelsea  hata mara moja ikiwa chini ya  Jose Mourinho,  wachambuzi wa masuala ya soka wanatafsiri kauli za Mourinho  kama ni njia ya kumdanganya kocha wa  Arsenal   Arsene Wenger   ili ajiamini zaidi. Mourinho  amekuwa na

Lowassa arudisha fomu za kuwania urais Chadema

Image
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa  Abdallah Safari (kushoto)  akipokea fomu kutoka kwa Waziri Mkuu wa Zamani,  Edward Lowassa. Ester Bulaya (wa kwanza kushoto waliovaa fulana) akiwa ukumbini kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama. Wanachama wa Chadema wakimkaribisha Edward Lowassa kwa mabango wakati anarudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama. Edward Lowassa akiwasili Makao Makuu kurudisha fomu za kuomba kugombea urais ndani ya chama, kushoto kwake ni Alfred Lwakatare, mkuu wa usalama wa chama. Baadhi ya wageni waliohudhuria katika tukio la Edward Lowassa la kurudisha fomu ya kugombea urais. HATIMAYE Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa leo amerejesha fomu ya kuomba uteuzi kuomba urais kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).  Anaandika Sarafina Lidwino  … (endelea). Aidha, katika urejeshaji wa fomu Lowassa amepata udhamini kutoka mikoa 32 ambao amedhaminiwa na wanachama zaidi ya milioni 1.6

Wimbo mpya: Jux ft. Ruby - sisikiii

Image
Kuwa wa kwanza kusikiliza wimbo mpya wa  Jux ft. Ruby - sisikiii  remix ni wimbo mzuri sana Sikiliza hapa chini muda huu.

Wagombea Ubunge Tarime Wakamatwa Kwa Kutengeneza Kura FEKI

Image
Uchaguzi wa kura za maoni kupitia CCM katika jimbo la Tarime Mjini na Vijijini umeahirishwa jana na kusogezwa mbele,utafanyika leo baada ya kukamatwa makaratasi maalum ya kupigia kura (kura feki ) zaidi ya elfu 20 zikiwa na majina ya wagombea, Nyambare Nyangwine na Gaudencia Kabaka yakiwa tayari yameshawekewa alama ya NDIO kuonesha kura zimekubaliwa