MELI MPYA YA MV. MAPINDUZI II YAWASILI BANDARI KUU YA ZANZIBAR
Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikiwa nje kidogo ya Bandari ya Zanzibar kabla ya kufunga gati Bandarini hapo. Baadhi ya wafanyakazi wa Wizaza ya Miundombinu waliofika Bandari Kuu ya Zanzibar kushuhudia kuwasili kwa Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikitokea Korea kusini. Sehemu ya ndani ya Meli ya MV. MAPINDUZI II itakayotumika kwa ajili ya mapumziko kwa abiria watakao safari Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akitoa maelezo kwa waandishi wa Habari juu ya matumizi ya gharama zilizotumika mara baada ya kuwasili kwa Meli ya MV. MAPINDUZI II Mjini Zanzibar. Meli ya MV MAPINDUZI II yatia nanga Bandari kuu ya Zanzibar ik i tokea Korea Kusini. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar. Na Maryam Kidiko Maelezo Zanzibar Meli mpya ya mv.mapinduzi ( ii) imewasili bandarini Zanzibar kwa ajili ya kuanza safari zake baada ya kukamilika ujenzi wake huko Korea ya kusini. Hafla ya kuwasili kwa meli hiyo imeongozwa na waziri wa fedha