Posts

WAZIRI NAPE NNAUYE AZINDUA STUDIO YA REDIO YA JAMII KATIKA CHUO KIKUU HURIA TANZANIA

Image
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akiwa ameongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), Prof. Elifas Bisanda kwenda kuzindua Studio ndani ya Chuo hicho 27 Juni, 2016 Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akikata utepe wakati wa Uzinduzi wa Redio ya Jamii ya ‘’Community Media Network of Tanzania (COMNET)’’ 27 Juni, 2016 Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akijadiliana jambo na Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa toka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Bi. Zulmira Rodrigues wakati wa Uzinduzi wa ‘’Community Media Network of Tanzania (COMNET)’’ 27 Juni, 2016 Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akiwa ndani ya Studio ya ‘’Community Media Network of Tanzania (COMNET)’’ akijibu baadhi ya maswali toka kwa

Zuma kulipa Dola 500,000 katika kashfa ya makazi yake

Image
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, akijibu maswali mengi ya Wabunge na Maseneta kuhusu kesi inayojulikana kama "Gupta" inayoibua maswali mengi katika utawala wake. Jumatau hii Juni 27, Wizara ya Fedha ya Afrika Kusini kwa amri ya Mahakama Katiba ya Afrika Kusini imemuamuru Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kulipa Dola 500,000 kama kitita cha pesa kiliyotumiwa kinyume cha sheria katika kashfa ya makazi yake binafsi ya Kandla. "Jumla ya kitita ambacho Rais Zuma anapaswa kulipa ni sawa na Rand 7814555", sawa na sehemu ya kazi iliyofanyika katika ujenzi wa makazi yake kwa matumizi ya fedha za umma, mamlaka ya Hazina ya taifa imebaini kwenye stakabadhi iliyokabidhiwa Mahakama ya Katiba. Juma lililopita Mahakama nchini Afrika Kusini ilitupilia mbali jaribio la Rais Jackob Zuma, kukata rufaa kupinga hukumu iliyoagiza afunguliwe mashtaka ya rushwa zaidi ya 800. Rais Zuma alijaribu kupindua uamuzi wa awali wa mahakama wa

Magazeti ya Leo Jumanne, June 28

Image
'

MAKAMU WA RAIS AHIMIZA AMANI NA UMOJA WAKATI WA TAFRIJA YA FUTARI ILIYOANDALIWA NA BAKWATA

Image
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza  wakati wa tafrija ya Futari iliyoandaliwa na Baraza Kuu la Waisalm wa Tanzania  (Bakwata) iliyofanyika kwenye uwanja wa shule ya sekondari ya Kinondoni Muslim ambapo alimuwakilisha Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli na kuwahimiza viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) waendelee kuombea amani katika Taifa na kukemea ipasavyo vitendo vya uhalifu katika jamii ya Kitanzania.  Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir akizungumza wakati wa tafrija ya futari iliyoandaliwa  na Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania ambapo alisema uongozi wa sasa wa BAKWATA umedhamiria kudumisha umoja,upendo na mshikamano baina ya Waislamu wote nchini, Tafrija hiyo ambayo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyemuwakilisha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri  Muungano wa Tanzania.

Magazeti ya Leo Jumatatu, June 27

Image