Posts

Magazeti ya Leo Jumamosi, Julai 2

Image

Tangazo la Wizara kwa Watanzania waishio nje ya nchi

Image
TANGAZO KWA WATANZANIA WOTE NA WALE WANAOISHI NJE YA NCHI (DIASPORA) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, inaendelea na jitihada zake za kuhamasisha Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) katika kuchangia maendeleo ya nchi yao. Ili kufanikisha hilo, Wizara kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo imekuwa ikizishawishi taasisi mbalimbali hapa nchini kutoa huduma na fursa za biashara na uwekezaji, ambazo zitasaidia Diaspora kuwekeza kiurahisi hapa nchini. Juhudi hizi ambazo zilianza tokea Serikali ya Awamu ya Nne zimeanza kutoa matunda makubwa ambapo thamani ya uwekezaji kutoka kwa Diaspora inaongezeka kila kukicha. Kutokana na umuhimu wa Diaspora katika kuchangia maendeleo ya nchi na huduma nyingine za kijamii; Serikali inapenda kutumia nafasi hii kuwakumbusha Watanzania wote wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) umuhimu wa kuheshimu na kutii sheria na taratibu katika nchi wan

TBS call for applications: Transition and Implementation Training

TITLE: ISO 9001: 2015 – Transition and Implementation Training  PURPOSE/DESCRIPTION:   This course is designed to provide participants with comprehensive knowledge and guidance to transition a Quality Management system based on ISO 9001:2008 to the one based on the recently updated standard ISO 9001:2015. COURSE DURATION: 5 days Course Outline: Annex SL Appendix 2 and the framework for the new ISO high level structure Specific new requirements relating to Context, Leadership, Planning, Support and Operation – and what factors to consider when implementing them New and revised terms and definitions applicable to ISO 9001:2015, as well as key concepts such as risk-based thinking and process approach Changes to the requirements from ISO 9001:2008 and their impact from an implementation perspective Using gap analysis to conduct a baseline review of your current system of ISO 9001:2008 TARGET AUDIENCE:  Quality Managers, Quality Consultants, SHEQ Managers, a

MAJALIWA AKUTANA NA WAJUMBE WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva   katika mazungumzo kati yake na wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  yaliyofanyika kwenye  makazi yake mjini Dodoma Juni 30, 2016. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva katika mazungumzo kati yake ya Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi yaliyofanyika  kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni 30, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa 2015 kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni30, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Tume ya taifa ya Uchaguzi kwenye Makazi yake  mjini Dodoma Juni 30, 2016. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Damian Lubuva. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada

KAMPUNI YA NATION YAFUNGA VITUO VYAKE

Image
Jumba na Nation mjini Nairobi Kampuni kubwa zaidi ya Habari Afrika mashariki, Nation Media Group, imeamua kufunga baadhi ya vituo vyake. Hatua hiyo itashuhudia idadi kubwa zaidi ya watu kupoteza kazi zao. Katika taarifa iliyopokelewa nchini Kenya, NMG kama inavyofahamika, imeamua kufunga vituo kadhaa vya Radio kama vile Nation FM, QFM na KFM iliyoko Kigali nchini Rwanda. Mbali na vituo hivyo vya Radio, itafunga pia kituo chake kimoja cha Runinga QTV. Nation Media Group inasema sasa itaelekeza juhudi zake kuboresha taarifa za mitandaoni. Kampuni hiyo ilianzishwa na muathama Aga Khan yapata miaka sitini iliyopita. BBC

MAGAZETI YA LEO IJUMAA

Image