KIFO CHA ZAOLA PARETO TANZANIA
Zao la pareto ni miongoni mwa mazao ambayo wakulima wamekuwa wakipunguza na kuacha kuyalima kabisa, huenda ni kutokana na bei yake kuwa chini au soko sumbufu. Kamera ya Benjamin Kaminyonge ilipita maeneo ya wilaya ya Makete, kata ya Matamba na kuona zao hilo likiwa kwenye shamba la ekari moja ndani ya kijiji kizima huku kukiwa na mazao kama mahindi, ngano, maharage na alzeti kwa wingi. (picha: benjaminkaminyoge.blogspot.com)

Bial shaka na yeye atafanana na jina hilo maana hata hao walio chagua jina hilo ina maana nao ni ..............? jina gani hili bwana
ReplyDeletePengine hata na hao walio chagua jian hilo nao ni wa.........
ReplyDelete