BONGO DAR ES SALAAM


Hapa ndo kariakoo soko kubwa jijini Dar es salaam tatizo la soko ili ni kuona uchafu uliorudikana na kutoa harufu kali isiyofaa kabisa kuvutwa na binadamu,huku Halmashauri ya manispaa ya Ilala ikikusanya Kodi mbalimbali kutoka kwa wafanyabiashara sokoni hapo,ni kero tupu iliyopo sokoni hapo.

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA