watakao pagawisha siku ya Fiesta DAR


Bracket


LIL KIM

Kundi la Wanamuziki kutoka nchini Nigeria wajulikanao kwa jina la Bracket,ambao wanatamba na nyimbo zao kadhaa ikimwemo ile ya yori yori and no time,pia watakuwepo COUPER DECALER kutoka IVORY COAST na kitu cha Aladji kutikisa ndani ya viwanja vya Leaders.........jipanguse rhaaaaaaaaaaaaaa

Comments