BRAND NEW TRACK KUTOKA KWA "CMB PREZZO" FEAT: ULOPA- 4 SHO 4 SHIZZY


Jackson Makini aka CMB PREZZO kutoka nchini Kenya amedondosha kazi mpya 4 SHO 4 SHIZZY aliyomshirikisha Producer wa ngoma hiyo ULOPA kutoka katika studio ya SAMAWATI ya Jijini Nairobi Kenya,Video ya kazi hii ameshoot na kampuni ya BOOMBA Video inatarajiwa kutoka baada ya wiki mbili katika vituo vyote vya Tv Africa nzima


download kupitia link hii http://hulkshare.com/ss7iwpcc8dt8

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA