MAADHIMISHO YA SIKU YA JUMUIA (COMMUNITY DAY)YAFANYIKA CHUO CHA SAUT.
Maadhimisho ya siku ya jumuia (community day)yamefanyika leo hapa chuo cha Mt.Augustino na kuudhuliwa na watu wengi wakiwemo wanafunzi,wahadhili ,wananchi wanaokizunguka chuo pamoja na viongozi wa chuo hiki,maadhimisho yameenda vizuri japokuwa kulitokea tatizo la mvua lakini haikuweza kusimamisha maadhimisho hayo.
Dhumuni kuu la maadhimisho ya siku ya jumuia ni wanafunzi kuweza kuonyesha mambo mbalimbali ambayo kila kitivo kinafanya,hivyo inakuwa ni fursa nzuri kwa watu mbalimbali kuweza kujifunza mambo mbalimbali ambayo walikuwa hawayafahamu yanayofanywa na kila idara chuoni hapa…..
Mabanda ambayo yameweza kuvuta umati wa watu ni banda la uhusiano wa umma(Public Relations), Mawasiliano ya Umma (Mass communication),banda la sheria (Law).Baada ya maonyesho hayo wanafunzi wa watu mbalimbali wamejitokeza kwa wingi katika mlo wa mchana ambao uliandaliwa na chuo. Na hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati wa maonyesho hayo.























Dats wats to all PRs' moto huouo!!!
ReplyDeletekeep it up kaka..blog ipo update.