Fid Q ndani ya Nomadic Wax's 'Internationally Known. Vol-2'. Its HIP HOP once again.

Ni Album nyingine inayowakutanisha wasanii mbali mbali kutoka nchi tofauti duniani. Fid Q ni mmoja wa wasanii wanao-compile Album hii, wengine wakiwa Zero Plastica (Italy), Modenine (Nigeria), Alesh (D.R.C.), Las Krudas (Cuba), Art Melody (Burkina Faso), Vox Sambou (Haiti), Emile YX (South Africa), and Diamondog…

Habari kwa hisani ya GongaMx

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA