LORI LAPINDUKA NA KUUA MMOJA MAENEO YA GAIRO


 Lori la Mizigo lenye nambari za usajiri T 688 ABA,ambalo limepinduka usiku wa kuamkia leo eneo la kijiji cha Taboteri,Gairo Mkoani Morogoro na kusababisha kifo cha mtu mmoja ambaye hakuweza kutambulika jina lake (kutokana na kwamba alikuwa ameomba lift tu) na kujeruhiwa kwa dereva wa lori hilo ambaye alivunjika mkono na kupelekwa hospitali.
 Utaratibu wa Kulinyanyua Lori hilo ulianza mara moja baada ya kufika kwa jamaa hawa wa Break Down.
 Break Dowm ikiendelea kunyanyua Lori hilo.

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA