MUGABE ATIMIZA MIAKA 90

Rais Robert Mugabe amefikisha miaka 90 leo, Mugabe alizaliwa 21 February,1924 huko wilaya ya Zvimba, kaskazini Mashariki mwa Southern Rhodesia (Zimbabwe) akiwa mtoto wa tatu kati ya sita waliozaliwa.
 Rais Mugabe ndiye rais mkongwe zaidi Afrika. Hivi ulikuwa unajua kuwa Rais Mugambe ni shabiki mkubwa sana wa CHELSEA?
 HAPPY BIRTHDAY HON. ROBERT MUGABE

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA