PICHA: MSANII STEVEN NYERERE APATA AJALI

Msanii Kajala Masanja kupitia mtandao wa Instagram amepost picha inayoonyesha gari ambalo msanii mwenzake Steven Nyerere amepata nalo ajali.

Huu ndo ujumbe aliouandika "new_kajala Pole sana ndugu yangu bora uzima gari utanunua linginge tuko pamoja @stevenyerere2 @stevenyerere2"

williammtitu Pole kamanda hasara ROHO pesa makaratasi cha muhimu uko poa tu

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA