TANZANIA BILA UKIMWI MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU,VIFO VITOKANAVYO NA UKIMWI INAWEZEKANA.


LEO NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KWA HAPA TANZANIA KITAIFA INAFANYIKA MkOANI NJOMBE IKIWA NA KAULI MBIU YA 

"Tanzania Bila Maambukizi Mapya ya VVU, Vifo vitokanavyo na Ukimwi na Ubaguzi na Unyanyapaa inawezekana" kauli mbiu hii inayolenga kupunguza maambukizi Mapya ya Ukimwi, kupunguza vifo vitokanavyo na Ukimwi na kukomesha vitendo vya unyanyapaa kwa asilimia Sifuri.

Comments

Popular posts from this blog

KIFO CHA ZAOLA PARETO TANZANIA

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU