HAPPY BIRTHDAY TO ME

Ni mengi napitia lakini Mungu unaendelea kunisimamia, nashukuru kwa kuwa ni mzima, naishukuru familia yangu, marafiki zangu wote ambao siku zote wamekuwa mstari wa mbele kunipa ushauri na kuniongoza pale napohitaji msaada wao, ninaamini hazina ya marafiki.

happy birthday to me.

Comments

Popular posts from this blog

KIFO CHA ZAOLA PARETO TANZANIA

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU