SPIKA WA BUNGE APANGUA KAMATI ZA BUNGE.


Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko ya baadhi ya wajumbe wa kamati mbalimbali za kudumu za bunge ili kuzingatia mahitaji mapya na changamoto zilizojitokeza.

Comments

Popular posts from this blog

KIFO CHA ZAOLA PARETO TANZANIA

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU