Tanzia:Mwenyekiti Wa Chadema Mkoa wa Iringa Afariki Dunia



Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Sinkala Mwenda, amepata ajali jana jioni, eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitali lakini juhudi za madaktari kuokoa maisha yake zilifikia ukingoni akawa amefariki dunia.

Comments

Popular posts from this blog

KIFO CHA ZAOLA PARETO TANZANIA

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU