Popular posts from this blog
PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA
Chukua japo dakika 10 za kusoma kitabu cha mwanamalundi, mtu maarufu aliyewahi kutokea katika historia ya kabila la kisukuma, hizi ni picha nilizozitoa katika kitabu hicho chenye karatasi kama 7, ni mojawapo ya kitabu nilichotamani kukisoma kupata ukweli juu ya mtu huyu, kwa bahati nzuri nimekikuta kwa mama yangu mkubwa katika kabati lake la vitabu, hivyo nikaona sio mbaya nikiweza kushare na marafiki zangu ambao nao wanatamani kujua historia ya mtu huyu maarufu kuwahi kutokea hapa Tanzania.
YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA
. Kama hukuwa karibu na TV yako kuangalia show ya Mkasi on EATV November 17 2014 usiku haya ni mambo sita aliyoyazungumzia Rapper Young Dee kuhusiana na tatoo zake, anachikofikiria kukifanya kama akiacha muziki, msichana aliyemwimbia “Siyo mchoyo’, kukopi style ya muziki na kuhusu yeye na shule. Mtangazaji Salama Jabir na timu yake ndio wameongoza maswali kwa Young Dee . . Salama : “… Mara yako ya kwanza kuchora tatoo ulikuwa una miaka mingapi ?…” Young Dee : “ …Actually sikumbuki nilikuwa na miaka mingapi.. lakini ilikuwa ni kipindi ambacho nilikuwa nimeanza kuandaa albam yangu inaitwa ‘The City of David’ .. tatoo yangu ya kwanza imeandikwa ‘The City of David’.. hii ndiyo project ambayo ninaifanya hadi sasa hivi kuanzia kwenye ‘dada anaolewa’.. ‘tunapeta’ .. hadi sasa hivi nyimbo zangu zinazotoka ni project ambayo nimeanza kuifanya muda mrefu.. nina kama miaka mitano kama sikosei kwa hiyo miaka mi...





Comments
Post a Comment