'NI NASARI NI CHADEMA ARUMERU MASHARIKI'
Kushoto
ni Mkazi wa Arumeru Mkoani Arusha, akipiga kura katika kituo cha
Ngaresero, uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, jana. Picha na
Edwin Mjwahuzi wa gazeti la Mwananchi.
Matokeo
ya uchaguzi wa Ubunge wilayani Arumeru Mashariki yametangazwa rasmi
asubuhi ya leo mara baada ya zoezi la kuhakiki uhesabu kura
lililochukuwa muda mrefu kukamilika na matokeo yakimpa ushindi mgombea
wa CHADEMA bwana Nasari Joshua;
KURA HALALI: 60038
ZILIZOKATALIWA: 661
Wagombea:
Mazengo Adam AFP 139
Charles Msuya UDP 18
TLP 18
Kirita Shauri Moyo 22
Hamisi Kiemi 35
Mohammed DP 77
Sumari Solomon CCM 26757
Nassari Joshua CHADEMA 32,972
Huu ni uchaguzi wa kwanza mdogo kwa CHADEMA kushinda katika jimbo lililokuwa likishikiliwa na CCM na uchaguzi wa pili kwa chama hicho cha upinzani, kushinda katika uchaguzi mdogo baada ya ule uliofanyika katika Jimbo la Tarime, kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Chacha Wangwe.

CHADEMA YAFANIKIWA KUTETEA KATA YAKE KIRUMBA MWANZA

CHADEMA kura 2938
CCM kura 2131
CUF kura 184
UDP kura 7
NCCR kura 0

Comments
Post a Comment