MZEE BOB MAKAN AFARIKI DUNIA

Habari zilizothibitishwa na uongozi wa CHADEMA ni kuwa Mzee Bob Makani,mwenyekiti mstaafu wa chama hicho amefariki dunia jioni ya tarehe 9 june 2012.
Nyanja.blogspot.com inaungana na familia yake,chama chake na watanzania wote kuomboleza msiba wa mwanaharakati huyu.Mungu amlaze mahali pema peponi

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA