“PARTY ZONE”-AY Ft. MARCO CHALI(OFFICIAL VIDEO)

Hatimaye video ya wimbo Party Zone kutoka kwa AY akiwa amemshirikisha Marco Chali(producer ambaye siku hizi anaanza kuja juu kwa utundu mwingine ndani ya muziki) imetoka.


Inasemekana kuwa mojawapo ya video za gharama kubwa kabisa zilizowahi kufanyika miongoni mwa wasanii wetu. Hii hapa chini;

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA