ALBUM MPYA YA MANSU-LI IKO MTAANI


Photo: ALBUM MPYA YA MANSU-LI ITAKUWA KITAANI WEEKEND HII.

Album mpya ya msanii wa Hip Hop nchini Mansu-Li inayoitwa KINA KIREFU inatarajiwa kuwa kitaani weekend hii na itakuwa ikasambazwa na yeye mwenyewe.
Kama wewe ni shabiki wa Mansu-Li na unapenda kazi basi piga namba hii +255 784 351667 ili kuipata Album hii mpya yenye mawe makali sana. 

Album mpya ya msanii wa Hip Hop nchini Mansu-Li inayoitwa KINA KIREFU iko mtaani sasa ikisambazwa na yeye mwenyewe.Kama wewe ni shabiki wa Mansu-Li na unapenda kazi za wasanii wa hip hop hapa bongo basi piga namba hii +255 784 351667 ili kuipata Album hii mpya yenye mawe makali sana.

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA