HIVI NDIVYO HALI INAVYOENDELEA KATIKA BONANZA LA PR

Bado bonanza linaendelea katika uwanja wa Raila Odinga,sasa hivi ikiwa PR 3 VETERANI wakiwa uwanjani PR 2,matokeo ya awali ni kwamba PR3 kashinda 4-2,baada ya kuwachapa PR 2 kwa njia ya matuta....so more stories to come,pata hizo picha kuona kinachoendeea uwanjani.
MC SAMU WA BONANZA HILI AKIENDELEA KUTOA MAELEKEZO MBALIMBALI.

KIKOSI CHA PR 3

PR 3

MAVETERANI WA PR3 WAKIPATA SOMO BAADA YA MAPUMZIKO

WADAU WAKIWA WAMEJITOKEZA.

WADAU WA PR 3 WAKIWA WAMEPOZ


KIGOMAAAA ...........

MDAU KILLIAN AAAH KAMA MCHINA HV.

WADAU WAKIJIANDAA KUVUTA KAMBA PR2 NA PR3

PR 2 WAMESHINDA PR 3 KATIKA UVUTAJI WA KAMBA
KIKOSI CHA PR2

PR 2 NA PR3 KATIKA PICHA YA PAMOJA.

KIKOSI CHA PR 1

MAVETERANI WA PR3

KIKOSI CHA PR 2 NA PR 3


PR 2 WASHINDI KATIKA UVUTAJI WA KAMBA.


Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA