BUJORA MAKUMBUSHO YA WATU KABILA LA WASUKUMA SASA YATIMIZA MIAKA 100
picha kwa hisani ya gsengo.blogspot.com
![]() |
Hili ni eno ambalo akina mama wa kisukuma walikuwa wakilitumia kama nyenzo ya kusagia nafaka ili kupata unga au kukobolea nafaka, eneo hili limehifadhiwa yapata miaka 100 sasa. |
![]() |
Ufugaji wa kale kwa himaya za watemi. |
![]() |
Ngoma za asili zilizotumiwa na wanasanaa wa kabila la Wasukuma katika koo mbalimbali ngoma hizi zimehifadhiwa yapata miaka 100 sasa. |
Comments
Post a Comment