Sikiliza/download wimbo mpya wa maombolezo – “R.I.P Brother Ngwair”

ngwair-0Nyimbo maalum, by Mozeh Thomas & Mirror Rhymes, ya kuomboleza kifo cha msanii wa Bongo flava, Albert Mangwea aka Ngwair, aliyefariki jana nchini Afrika kusini.


Song: R.I.P Brother Ngwair
Artists: Mozeh Thomas & Mirror Rhymes
Studio: Overclassic Music
Producer: Eizer
Unaweza kusikiliza au download hapa chini


Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA