MWENDESHA PIKIPIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI MOROCCO

MWENDESHA pikipiki ambaye hakujulikana jina, amenusurika katika ajali iliyotokea maeneo ya Morocco, jijini Dar es Salaam, baada ya pikipiki aliyokuwa anaendesha kuteleza na kuacha njia na kuanguka.…
Picha za tukio zima la kuteleza kwa pikipiki hiyo na kuanguka hadi kusaidiwa na wasamaria kuiweka sawa.
MWENDESHA pikipiki ambaye hakujulikana jina, amenusurika katika ajali iliyotokea maeneo ya Morocco, jijini Dar es Salaam, baada ya pikipiki aliyokuwa anaendesha kuteleza na kuacha njia na kuanguka.
(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL)

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA